Kama hutaki kupoteza pesa yako usinunue gari aina ya toyota passo

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Hii gari sijiu ilitengenezwa kwa ajili ya wenye uzito mdogo, mkitimia wote watu watano kana titia utazani umebeba magunia ndani.

Gari laini sana kwa mazingira yetu mpaka barabara, unabadilisha miguu chini kesho hiko vile vile.

Nahisi kalitengenezwa kwa ajili kuzungukia mitaa midogo.

709F1A34-91F1-4BBE-A0F1-4B40E4479CA2.jpeg
 
Haka kagari ni kazuri sana. Ila ni kwa ajili ya familia changa. Baba, mama na nyuma watoto wadogo. Hiki kigari kina shida mbili muhimu. Stearing Rack (?) huwa inagonga hata ufanye nini; pili kikifa A/C haitengenezeki. Hivyo unafungua vioo tu. Kwetu wazee ndiyo mwisho wake. Tatizo la mwisho ni kuwa hakiuziki, ukitaka kukiuza wanakueleza million 2 wakati pikipiki ni million 2 na laki saba.

All in all ni kigari kizuri, kigumu na mafuta kinatumia kidogo 12 KM for only one litre
 
Hii gari sijiu ilitengenezwa kwa ajili ya wenye uzito mdogo, mkitimia wote watu watano kana titia utazani umebeba magunia ndani.

Gari laini sana kwa mazingira yetu mpaka barabara, unabadilisha miguu chini kesho hiko vile vile.

Nahisi kalitengenezwa kwa ajili kuzungukia mitaa midogo.

View attachment 2463131
Nahisi heading ipo kinyume na content..!!
 
H
Hii gari sijiu ilitengenezwa kwa ajili ya wenye uzito mdogo, mkitimia wote watu watano kana titia utazani umebeba magunia ndani.

Gari laini sana kwa mazingira yetu mpaka barabara, unabadilisha miguu chini kesho hiko vile vile.

Nahisi kalitengenezwa kwa ajili kuzungukia mitaa midogo.

View attachment 2463131
Hizi gari zenye injini ndogo ni kwa ajili ya shughuli ndogondogo za town trip, sema waongo tunazifanyisha kazi na safari zisizo stahili
 
Unajua hivi vitu vya kuja hatujui matumizi yake kwanusahihi hebu nipe sababu za ac kufa hebu nipe sababu za ww kujaza watu wazito kuliko uwezo wa gari wenzetu waliotuletea hivi vitu wamechanganua vizuri matumizi ya gari imagine mtu ana kg 90 mke ana kg90 na waliopakiwa nyuma wana kg zisizopungua 78 kila mmoja hapo kuna nn kinatokea.

Matumizi ya gari ni jambo muhimu la kujua kabla ya kununua ila tunaendekeza umaskini mtu unataka kumiliki gari na hujajipanga. Mm nina mshkaj wangu ana passo ilikua usajili DMZ alitumia sana sijawahi sikia ikimsumbua mpka kaiuza ikaenda kuwa uber na bado nikawa naiona road akavuta nyingine usajili DPE na anakasukuma mpka leo hakana tatizo tunalia na matumizi ya gari na kulijali
 
Mimi naona hivi vigari vinawafaa watu wenye kupenda kuonekana yuko kwenye gari kutwa nzima,maana vinanusa mafuta.Ukitaka kujua kuwa hujui,uwe na kigari kama hiki highway,unakikayaga hakiendi na wenzako wenye madungu yao wanakupita kama umesimama.Hiki labda nikisha staafu ndio kitanifaa...
 
Hii gari sijiu ilitengenezwa kwa ajili ya wenye uzito mdogo, mkitimia wote watu watano kana titia utazani umebeba magunia ndani.

Gari laini sana kwa mazingira yetu mpaka barabara, unabadilisha miguu chini kesho hiko vile vile.

Nahisi kalitengenezwa kwa ajili kuzungukia mitaa midogo.

View attachment 2463131
Extrovert anadai huyu naye ni mjerumani.
 
Hii gari sijiu ilitengenezwa kwa ajili ya wenye uzito mdogo, mkitimia wote watu watano kana titia utazani umebeba magunia ndani.

Gari laini sana kwa mazingira yetu mpaka barabara, unabadilisha miguu chini kesho hiko vile vile.

Nahisi kalitengenezwa kwa ajili kuzungukia mitaa midogo.

View attachment 2463131
Hichi kigari kwa ajili ya watoto wa Kijapan kwenda Sunday school
 
Hii gari sijiu ilitengenezwa kwa ajili ya wenye uzito mdogo, mkitimia wote watu watano kana titia utazani umebeba magunia ndani.

Gari laini sana kwa mazingira yetu mpaka barabara, unabadilisha miguu chini kesho hiko vile vile.

Nahisi kalitengenezwa kwa ajili kuzungukia mitaa midogo.

View attachment 2463131

Hahaa passo pasua kichwa

Week moja road inayofuata garage[emoji2531]
 
Back
Top Bottom