Kuna jamaa yangu kaenda Nako mwanza from dar, watu wana roho ngumu aiseeHii gari sijiu ilitengenezwa kwa ajili ya wenye uzito mdogo, mkitimia wote watu watano kana titia utazani umebeba magunia ndani.
Gari laini sana kwa mazingira yetu mpaka barabara, unabadilisha miguu chini kesho hiko vile vile.
Nahisi kalitengenezwa kwa ajili kuzungukia mitaa midogo.
View attachment 2463131