Kama hutaki kupoteza pesa yako usinunue gari aina ya toyota passo

Kuna jamaa yangu kaenda Nako mwanza from dar, watu wana roho ngumu aisee
 
Labda tatizo lipo kwenye hiyo yako mbona ile ya LeMutuz haititii
 
Tatizo la A/C kufa inatokana na muda wake kuisha. Usisahau Magari mengi mjini ni ya mwaka 2004!
 
Tatizo la A/C kufa inatokana na muda wake kuisha. Usisahau Magari mengi mjini ni ya mwaka 2004!
Kwahyo inakua imeisha au imekufa hebu tofautisha hayo mambo ikiisha haifai kujaza? Au hakuna spea za vifaa vya ac kwa passo? Au mimi ndio sielewi hapa
 
Kwa gari ya CC's ndogo below 1200 ni faulo kali sana kutumia lita 1 kutembea 12km.

Hapo mimi ndipo niliona upuuzi wa hii gari. Ukitaka kupata milage nzuri ni usibebe mizigo wala watu utaona kanaenda at least 14km per lita.

Sasa ukitazama gari kama WISH tu ambayo imeizidi hii kwa CC's na hata body size, inatembea above 15K kwa 1litre. Kwann nihangaike na hii?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…