Kama hutaki kutongozwa funga pm!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe hujui kama tunaenjoy kutongozwaa tunawachora mnavyoparangana kujisifia mxeeeeeew
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] x
 
Hapana sio uchochezi nimepata matatizo ya kuelewa lengo la hawa watu wawili
Mndali wewe ni kwamba huelewi kweli au makusudi


Huyu apa mwenye hatimiliki ya kuniita vyovyote apendavyo,the only man i love,mwanaume mwenye mapenzi ya kweli kuwahi kutokea duniani hapa


Dreka yeye anataka kuniuzia kesi,hili jina alilonitunuku litasababisha nipewe talaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…