Kama hutaki kutongozwa funga pm!

Kama hutaki kutongozwa funga pm!

Hapana sio uchochezi nimepata matatizo ya kuelewa lengo la hawa watu wawili
Mndali wewe ni kwamba huelewi kweli au makusudi


Huyu apa mwenye hatimiliki ya kuniita vyovyote apendavyo,the only man i love,mwanaume mwenye mapenzi ya kweli kuwahi kutokea duniani hapa


Dreka yeye anataka kuniuzia kesi,hili jina alilonitunuku litasababisha nipewe talaka
tapatalk_1522409735348.jpeg
 
Back
Top Bottom