Kama hutaki kutongozwa funga pm!

Asante kwa ufafanuzi

Maana nilijua unamiliki wawili ndio maana nikapata matatizo ya kuwaza na kujua lengo la kumiliki wawili
 
Mmh. Hata sijakuelewa Dj hivyo kwa mwanamke anayeacha PM wazi lengo lake ni mtongozo ama tumeongea lugha mbili tofauti?

Nataka nikwambie kitu kimoja Pm zina mambo mengi wengine tumejipatia ndugu, marafiki wa kweli huko huko Pm.

Nadhani muwe na kauli njema tu mkienda huko PM na pia uelewa ndio jambo la muhimu kati ya muendaji na yule mfatwaji sababu sidhani kwamba mtu kusema sihitaji mwanaume wa jf ni vibaya bali nyie mnaoambiwa hivyo muwe na jicho la tatu sababu kiuhalisia sio wanawake wote waliopo jf wanataka wanaume hivyo huwezi sema mwanamke afunge PM kisa asitongozwe hamna kitu kama hicho.

Na pia inatakiwa ujue sio kila mtongozo lazima utiki kuna inayobuma pia.
 
Naona hili somo kalipata kama hajaelewa basi nitalipa ada arudi shule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…