Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Asante kwa ufafanuziMndali wewe ni kwamba huelewi kweli au makusudi
Huyu apa mwenye hatimiliki ya kuniita vyovyote apendavyo,the only man i love,mwanaume mwenye mapenzi ya kweli kuwahi kutokea duniani hapa
Dreka yeye anataka kuniuzia kesi,hili jina alilonitunuku litasababisha nipewe talakaView attachment 736215
Maana nilijua unamiliki wawili ndio maana nikapata matatizo ya kuwaza na kujua lengo la kumiliki wawili