Kama hutaki kutongozwa funga pm!

[emoji23] [emoji23] dreka kaamua tu kunifanyia makusudi.
Ngoja akuje nimwambie asintilie kitumbua mchanga
Sawa

Inawezekana akawa anawaza tofauti na mawazo yako

Maana wanaume tuna mawazo mapana sana

Ila kuwa makini maana upendo ni sawa na uwekezaji wa miradi mikubwa
 
Naona hili somo kalipata kama hajaelewa basi nitalipa ada arudi shule
Uwezi kumnyima mdada wa jf uhuru kisa eti akitongozwa atasema sitaki mwanaume jf. Lol.

Wenye kufunga kama kina sie baada ya kuona tumepata ndugu na marafiki wakutosha hapo sawa ila kwa wale ambao wanaona PM kukaa wazi kwao ni amani waiache tu kwa kweli.

Na hapo inachotakiwa wanaume ndio wajue namna ya kujiongeza wakija huko PM na sio kushika chuki kisa mdada amesema kweli yake.
 
Unajua tatizo wavulana wanaharibu taswira ya wanaume

Maana najua kutongoza ni sawa na kubeti
Unaweza ukapata au kukosa

Sasa inakera mtu anapo ona kukubaliwa kwake ufahari


Ila sijui mawazo ya mleta maada alimanisha au anachangamsha jukwaa
 
Halafu jamaa hela anayo, hahaaaa hapo warembo lazima wanase
Hiyo pic imesambaaa Sana WhatsApp ikidai kwamba mtot anabahat mbay maana kafanana na Sura ya jamaaa kwahy inambidi asome Sana Kwa usawaa huu wa magu eti hakna kidumee atakae kubali kuwa nae ilaa huyo akiwa na mkwanja Tu kuna vidume watalelewaa na hyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…