in ha
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 1,726
- 3,888
Akaa! Naogopa usije kunianzishia Uzi hapa[emoji125] [emoji125] [emoji125]Uje chumbani nikuambie kitu malkia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akaa! Naogopa usije kunianzishia Uzi hapa[emoji125] [emoji125] [emoji125]Uje chumbani nikuambie kitu malkia
Mkuu sepetu ni jina la ukoo..kama majina mengine tu,,kama ilivyo mushi,komba n.kNdoukome kuweka majina shawishii yakiduanz kama hayo,,,kidumee unajiita "sepetu"what a shame?wavulana wa dar wanashida Sana wamikoani Sisi tuko vizur tukiona majina lain kama hayo tunapatwa na midadi yaku.......a,,,kwahyo we mvulana wa dar watch out
Unakuta mdada mzuri kabisa anasema yeye haitaji mwanaume Wa jf ila pm yake iko wazi 24\7
Yaani wewe dada umeniudhi sana!
Maserati I miss youkazi ipo
Ndio mwanaume huuHahahahaha lol! Wengine tukiwa tunatongoza hatunaga mambo ya kujisifia. Straight to the point.
Shualina hujamboPole mnoo
Sijambo hazard za weweShualina hujambo
Salama tu....umekua adimu kama milango ya pikipikiSijambo hazard za wewe
Hakuna namna kutongozwaa raha jaman asikwambiee mtu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mungu anawaona
STILL MESSI IS BETTER THAN CR7
Hurumaa ? wakat raha kutongozwa yan nasikia raha kumuendesha mtu anayenitongozaaa anavyohangaikaaaa basi nakuwa namtisha kwa masifaa kedeee anabak anatetemeka tuMuwe na huruma
Ndioo shemu hujui kutongozaa kabisaa nikakuona wewe zerooooo sifurahii mtongozo wakooInamana shem ndo maana siku ile ukajikausha kujibu pm yangu?
Hivyo hivyooo tunaenjoyHahahahaha lol! Wengine tukiwa tunatongoza hatunaga mambo ya kujisifia. Straight to the point.