Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
Leoo sna raha huta enjoy piemNaomba uniruhusu nije pm D
Serious I mean
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leoo sna raha huta enjoy piemNaomba uniruhusu nije pm D
Serious I mean
Shemela nakumiss pia..nimeuona ujumbe wakoMaserati I miss you
Nishafunga zamaniNafua huwezi funga pm yako ma sabra
Nafasi ishajaaAcha uchoyo wafungulie bhana wanalalamika!
Tatizo huyu mwanaume kashika pote peke yakeDaladala haijai watashika bomba[emoji23] [emoji23]
Hapa safari hiii nimekanyaga kwenyewee hata kidole sitiwiJamani ila ukienda kisimani si unabeba na kidumu!
Hata gari lina spare tyre!
Ha ha ha . Usiku mwemaShemela nakumiss pia..nimeuona ujumbe wako
Ama kweli wokovu una wenyeweSepetu my dear ndo buku saba yangu ya bodaboda ukala na getoni hukufika kabisa..
Sio vzr bora ungesema unashida na hela ya chips + pedi
Kweli kabisa na siku zote huo mchezo auhitaji hasira aisee.Unajua tatizo wavulana wanaharibu taswira ya wanaume
Maana najua kutongoza ni sawa na kubeti
Unaweza ukapata au kukosa
Sasa inakera mtu anapo ona kukubaliwa kwake ufahari
Ila sijui mawazo ya mleta maada alimanisha au anachangamsha jukwaa
Hahahaa. Ndio Dj sio yote inaweza kufanikiwa.Hajar mitongozo inabuma! Duh