Kama hutumii mbinu hii katika biashara bado wewe sio mfanyabiashara bali mjaribu biashara

Kama hutumii mbinu hii katika biashara bado wewe sio mfanyabiashara bali mjaribu biashara

"Hiyo sio brand, rudi kajifunze kuhusu brand"

Halafu mtu anakula kona kamaliza hapo 😄😄😄
 
Musimpopoe jamani, ameeleza vizuri ispokuwa yeye amebase kwenye brand name, ingawa brand ina vitu vingi ndani yake kama vile Name, Visual identities (logos, mabango n.k), values (thamani/tunu) na kadhalika.

Na pia inaenda sambamba na marketing pia, maana kufanya branding pekee bila marketing ni tatizo pia.
 
JF yule wa kwanza kureply mawazo yake katika post ndo hayo hayo wanatembea nayo wanaofuata😂😂😂😂
 
Mtoa mada nadhani ameongelea kuipa jina biashara yako linalotambulika ama litakuwa utambulisho.
 
Back
Top Bottom