Musimpopoe jamani, ameeleza vizuri ispokuwa yeye amebase kwenye brand name, ingawa brand ina vitu vingi ndani yake kama vile Name, Visual identities (logos, mabango n.k), values (thamani/tunu) na kadhalika.
Na pia inaenda sambamba na marketing pia, maana kufanya branding pekee bila marketing ni tatizo pia.