Kama huu ni Uchochezi wa Vitali Maembe, basi Watanzania wengi ni Wachochezi

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Posts
124,790
Reaction score
288,165
Kama huu ndio uchochezi, basi wananchi wengi ni wachochezi.

Huu ndo wimbo unaotumika kutaka kumuangamiza Vitali Maembe,pamoja na "nyimbo nyingine".

Sambaza Link ya Wimbo huu ili umma uamue kama anastahiki kuhukumiwa au kutuzwa.
 
20211103_213304.jpg
 
View attachment 1997547
Wanatuuzia vitanda kisha wanatunyuma usingizi🤣🤣
 
Kwahiyo tunaachana na ugaidi tunarudi kulekule kwenye uchochezi
 
Back
Top Bottom