Kama huwezi Kumuacha basi Usimchunguze!

Kama huwezi Kumuacha basi Usimchunguze!

Astaghfirullaah...ukisoma hivi waweza jua maigizo kumbe Kweli yanatokea na watu wanachapiwa
Mke wa mtu kabisaa,mguu mosi,mguu pili Kwa hawara!!hajiulizi,Hana aibu,hamheshimu mumewe Wala watoto wake
Mungu ninusuri aseeh

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Yanatokea wanawake mna mengi mnayoyafanya bila waume zenu kujua na wanaume wengi wanachapiwa na hawajui km wanachapiwa, humchukua mwanaume makini kugundua kua mke wake anachapwa nje Ila walio wengi ni NGUMU kugundua sababu hawana kauli kwa wake zao, mwanamke ndio mwenye kauli na ikiwa hivyo basi mwendo wa kujiachia tu nje anachapwa weeee mume ndani anabaki kua mume jina...

KATAA NDOA
 
Hao hawakosekani madam maana wamechanganyikiwa na maisha
Sio kuchanganyikiwa mkuu kataa ndoa hauwezi isikia Afghanistan kwanini ,hakuna usawa kati ya me na ke , tunapinga tunakataa kabsa kwa sababu kwa huu umagharibi hakuna ndoa zaidi ya utapeli tu .
 
Yaani huoni ajabu kuni vulia nguo na kuuona uchi wako na kuuchezea nitakavyo ila unaona ajabu mm kushika simu yako?

Kwanza mwanaume yeyote anaye sema eti hawezi kumuacha mkewe hata afanye kosa gani huyo hana sifa za kuitwa mwanaume na ni mpumbavu, yaani niendelee kuishi na limwanamke lizinzi ndani ya nyumba yangu wakati dunia imejaa wanawake wenye kila aina ya uzuri na kila siku mamilion ya wengine wanazaliwa?
 
"Siwezi lea mama Mwingine, wakati Mama yangu nishazika"

MANENO ya mke wa jamaa Baada ya jamaa kwenda kumpokea mama yake stendi!!

Kama kungekuwa na NAFASI ya kurudi na kumuomba muumna jambo!ningemwambia usiniumbe niache dunia inamateso SANA!
Chief

Huo Uzi niliuona kwakweli nilisikitika basi hata sikusema chochote kile.

How come mke wangu amkatae mama yangu? Aisee angeondoka yeye Kwanza na si mama yangu.

Lkn haya ndio matokeo ya kuoa Watu ambao hawana maadili na utu
 
Chief

Huo Uzi niliuona kwakweli nilisikitika basi hata sikusema chochote kile.

How come mke wangu amkatae mama yangu? Aisee angeondoka yeye Kwanza na si mama yangu.

Lkn haya ndio matokeo ya kuoa Watu ambao hawana maadili na utu
Kwasababu za kiusalama Jamaa aliamua kumpa nauli aende zake na mama alilia Sana nauli ili AONDOKE!!!
 
Kuna nini kilikiukwa kwenye ule uzi? Mbona sikuona kama kuna shida yoyote,au Kuna vitu uliviongeza baadae ikapelekea uzi kuwa deleted?
Hapana mkuu hakuna chochote nilichoongeza, Yani binafsi nimeshangaa kwanini wamefuta lkn nikasema anyways huenda wanajisikia Raha smtm kufanya hivyo.

Ningewaona wapo Makini labda kama wange edit heading kwasababu labda ilikuwa na ukali kidogo
 
Asante mkuu kwa dokezo hilo. Lakini mimi nasema hivi: mwanamke yu chini yangu (bila kujali wadhfa, elimu, umri, nk), hivyo anapaswa kuenenda kwa kadiri ya misingi ya ndoa. Awe mkristo, au muislam, mwanaume ndio kichwa cha familia. Hivyo, hawezi kwenda kinyume na misingi hiyo!

Huyo jamaa unayemuongelea, namshangaa sana kwa kitendo hicho cha kidhaifu (uamuzi wa kidhaifu) alichochukua! Utaukimbiaje mji kwa sababu ya mwanamke? Ujue hiyo ni dhambi, kwa kuwa unakwenda kinyume na maadili ya Mungu! Huyo unayemuachia mji si ametokana na ubavu wako? Na uliambiwa ukaishi kwa akili na mke wako? Kwanini hukutumia akili? Alitakiwa atoke yeye na sio wewe!

Mababu zetu walifanya hivyo kwakuwa walienda umbali mrefu, na kwa kutambua asili ya binadamu, basi waliamua kufanya hivyo, hata hivyo jambo hilo lilifanyika kulingana na busara ya mtu; haikuwa sheria ambayo ingefuatwa na kila mtu!

Nawashauri wanaume wenzangu, mwanamke akileta jeuri (hii mwanamke anafanya kwa makusudi), au dharau, mtimulie mbali, vinginevyo utajiingiza kwenye mgogoro sio tu na jamii inayokuzunguka, bali pia na Mungu wako!
Nakubaliana na wewe kabisa chief
💪💪
 
You lack masculine frame.

Unajisifu jambo la hovyo Sana .Timiza wajibu wako Kama mwanaume ndani ya ndoa,then everything will fall into place. Kumfatilia fatilia Sana mwanamke ni dalili ya kutojiamini .Mwanamke Hapendi mwanaume asiyejiamini. Mfanye mkeo ajione yupo salama kuwa na wewe,hatokuja kukucheat.

kushika shika simu yake kila muda huo siyo uanaume. Mwanamke aliye katika mkao wa kumegwa,wewe mwanaume hauna njia/namna yoyote ya kumzuia asimegwe huko nje. Acha tabia za kivulana.
💪💪 Huo ndio ukweli ingawa mchungu chief.
 
Nyie tuchapieni tu wake zetu lkn hatukatai ndoa ng'o.

Kwani tsh. Ngapi bhna

Kwanza wanasema haina makombo. we ukitoka kuichapa anaiosha vizuri anarudi home na mm nakandamiza .

Kizuri kula na mwenzako shehe.

Sent from my itel W4001P using JamiiForums mobile app
Ur the legend chief

Haijalishi hali iko vipi Ila Ndoa ndio kila kitu
 
Hakuna mbinu mahususi ya kumzuia mkeo kugongwa na njemba zingine.
Labda mwanamke mwenyewe aamue tu kutochepuka vinginevyo kuchapiwa kuko pale pale hata ufanyeje.

Kukagua ama kutokagua Simu Yale Wala hakubadilishi chochote.
 
Hivi Kwani kwanini simu iwe Siri km mnashea Siri zaidi ya simu,na kwanini mwanamke au mwanaume ucheat ktk ma ndoa?
Ndoa ni tendo takatifu linalonajisiwa na wanandoa wenyewe Kwa ushenzi na uhuni wao
Na ndo ktk uislam hukumu ya mzinzi aliye ndoani ni kubwa sana
Watafichana Wana ndoa ila Mungu hafichwi,na hii ndo inapelekea vijana wakatae nusu ya dini Yao Kwa sababu uzinzi Siku hizi wanawake tunaona fasheni
Kuna group nipo Yaani kule ni balaa wake za watu wazinzi afu wazinzi tena na Ndo maana wanaume mwarogwa Siku hizi
Mtu yoyote anayezini nje ya ndoa hata km rafiki yangu namdharau




Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Tuanze na Simu Kwanza madam

Ukiacha usaliti katika Simu,kila mtu anahitaji faragha ya mawasiliano yake, si kila kitu ambacho wewe unawasiliana na ndugu zako au jamaa zako Mimi nikijue, na wewe vile vile si kila kitu ambacho nadili nacho katika Maisha yangu ukijue,sasa tukianza kupekua Simu zetu tunakuwa hatuna faragha.

Pili ukishajua Tu kuwa Katu Simu haitakusaidia kumdhibiti mwenza wako kama anataka kufanya uchafu basi haina hata haja ya kujishughulisha nayo,maadam hajakuvunjia heshima yako wala kuonyesha dharau.

Kubwa mpendane na mheshimiane, hayo ya pembeni anayejua ni Allah.

Lakini Katu usidhani eti kudhiti Simu ndio kila kitu laa unafeli mapema kweupe
 
Tuanze na Simu Kwanza madam

Ukiacha usaliti katika Simu,kila mtu anahitaji faragha ya mawasiliano yake, si kila kitu ambacho wewe unawasiliana na ndugu zako au jamaa zako Mimi nikijue, na wewe vile vile si kila kitu ambacho nadili nacho katika Maisha yangu ukijue,sasa tukianza kupekua Simu zetu tunakuwa hatuna faragha.

Pili ukishajua Tu kuwa Katu Simu haitakusaidia kumdhibiti mwenza wako kama anataka kufanya uchafu basi haina hata haja ya kujishughulisha nayo,maadam hajakuvunjia heshima yako wala kuonyesha dharau.

Kubwa mpendane na mheshimiane, hayo ya pembeni anayejua ni Allah.

Lakini Katu usidhani eti kudhiti Simu ndio kila kitu laa unafeli mapema kweupe
Aahh...faragha Gani Sasa ya kufichana wanandoa jamani!!!sijaona jipya


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Aahh...faragha Gani Sasa ya kufichana wanandoa jamani!!!sijaona jipya


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kweli wanandoa hawana jipya wala hujakosea

Lakini nje ya ndoa tuna Maisha yetu binafsi, hivi Ni sahihi kweli nijue changamoto zenu za kifamilia, chukulia ndio mmechati mambo yenu ya kike na dada zako let's kuhusiana na changamoto za period zinazo mhusu dada yako ambaye ni shemeji yangu, je ni Sawa kujua hayo?

Huo nimekupa mfano Tu,vipi kuhusu let's say madeni ya familia yenu,kuna haja ya Mimi kuyajua, au uchafu WA ndugu zenu ambao Mimi nawaheshimu je huoni kujua kwangu mambo ya ukweni ambayo huenda nisingepaswa kuyajua yatanifanya niwadharau Sana?

Hiyo kauli uliyosema ni kuhalalisha Tu kupekua Simu ya mwenza wako lkn si Sawa kabisa.
 
Sio kuchanganyikiwa mkuu kataa ndoa hauwezi isikia Afghanistan kwanini ,hakuna usawa kati ya me na ke , tunapinga tunakataa kabsa kwa sababu kwa huu umagharibi hakuna ndoa zaidi ya utapeli tu .
Chief stress ujue mbaya sana
 
Yaani huoni ajabu kuni vulia nguo na kuuona uchi wako na kuuchezea nitakavyo ila unaona ajabu mm kushika simu yako?

Kwanza mwanaume yeyote anaye sema eti hawezi kumuacha mkewe hata afanye kosa gani huyo hana sifa za kuitwa mwanaume na ni mpumbavu, yaani niendelee kuishi na limwanamke lizinzi ndani ya nyumba yangu wakati dunia imejaa wanawake wenye kila aina ya uzuri na kila siku mamilion ya wengine wanazaliwa?
Chief

Naona umemiss the point hapa

Huyo jamaa ambaye alifuma hiyo msg ina maana Maisha yalikuwa kama kawaida Tu lkn alipopekua Simu kayakuta aliyoyataka.

Kwahiyo Lau kuwa asingepekuwa Leo hii asingetaka kukimbia nyumba yake.

Sifa ya mwanamke ni kutongozwa na ndio maana wewe ulimtongoza na kumpata,kwahiyo hata akiwa kwako ataendelea kutongozwa Tu.

Sasa pekua Simu yake mara moja mara mbili akishajua kumbe ndio zako kinachofuata anabadili mbinu za kivita, huenda akawa na line mbili moja special Kwa mambo yake, au anajipanga namna ya kuratibu nyendo zake.

Kifupi humuwezi kumchunga mwanamke mzinzi.

Na haipaswi kumvumilia mwanamke mzinzi ila usitafute Shari kama hajakuonyesha Shari.
 
Hakuna mbinu mahususi ya kumzuia mkeo kugongwa na njemba zingine.
Labda mwanamke mwenyewe aamue tu kutochepuka vinginevyo kuchapiwa kuko pale pale hata ufanyeje.

Kukagua ama kutokagua Simu Yale Wala hakubadilishi chochote.
Chief

Nakubaliana na wewe kabisa, kuna Fala mmoja dem akirudi home lazima amvue nguo na kukagua kama kuna watu wamepita lkn bado walipita ndo huyo demu alienda saluni.

Kifupi ni kupoteza Mda Tu kumchunguza mwanamke
 
Wanaume nimeita kikao cha dharura usiku huu Kwa sababu kuna udharura wa kufanya hivyo.

Leo mchana wakati napitia baadhi ya nyuzi humu JF, kuna mwamba mmoja yamemkuta na hivi ninavyoongea huenda akaacha makazi yake kwenda mbali na mji wake, na hii baada ya kufuma message ya mkewe akipanga mipango ya kunyanduana na class mate wake.

Sasa kwa mujibu wa mtoa taarifa ni kwamba mume alimtaka mkewe aondoke lakini mke kasema nipige lakini hapa kuondoka siondoki, kwa maana haendi kwao kama mume alivyotaka. So badala yake mume anataka kuondoka yeye na kwenda mbali na makazi yake.

Nikaona hapana haya mambo hayawezi kupita hivi hivi bila kuitisha kikao cha dharura na kupeana mawili matatu ili mambo kama haya yasimtomkee mwanaume mwingine.

Sasa machief ni hivi kama unahisi au unajua kabisa unampenda your baby mama na huwezi kumwacha au unajua kabisa ukijua mambo yake ya siri utaumia na kukosa amani mpaka kuamua kuacha mji wako na kusepa, basi nashauri hivi usimchunguze tafadhali kwa maana usifuatilie mawasiliano yake kujua anawasiliana na nani na mambo kama hayo.

Sijui kama wajumbe mmenielewa? Narudia tena usimchunguze kabisa, hii itakusaidia kuwa na amani na kufurahia ndoa yako, haya mambo ya kucheki message na kukagua kagua simu sio mazuri kwa afya yako kama mwanaume.

Ndio matokeo yake utoe kichapo na kumdhuru mtu na mwishowe uende ukaishi kwenye majumba ya serikali bila kutarajia, ndio namaanisha selo au gerezani.

Kwahiyo tuachane na haya mambo ya kuchunguza chunguza kama kweli tunataka kuishi kwa amani, au chunguza wakati unajua kabisa una moyo mgumu kwa maana umekuta mambo ya ovyo basi uwe jasiri kusepa kwa amani bila kudhuru mtu na kufungua kurasa mpya katika maisha yako.

Haya yanawezekana kabisa maana msiseme Mwenyekiti wa kikao anasema tu kwa mdomo lakini vitendo hamna, haya mimi niliyaishi katika ndoa yangu kabla sijasitisha mkataba, niliyaiishi kwa miaka saba na sikushighulishwa na simu ya mke wangu hata kidogo, na nilikuwa na amani tu.

Na hata nikiingia mkataba mwingine wa ndoa sera yangu ndio hio hio kwani nimeona ina faida zaidi kimwili na kiakili pia.

Na kuna watu wanayaishi haya maisha mpaka Leo na tabasamu linatawala ndani ingawa huenda kuna makando kando huko nje lakini hawajatafuta sababu za kuleta mitafuruku ndani ya ndoa.

Ndio maana wazee wetu huko nyuma walikuwa na utaratibu mmoja,si unajua zamani kulikuwa hakuna simu, basi akirudi katika mji wake, atamtuma mtoto apeleke koti nyumbani ili kusafisha njia hata kama bi mkubwa alikuwa anafanya rafu basi ajiweke sawa na Mzee akirudi asikute baya lolote ili furaha itawale ndani ya nyumba, na walikuwa wanarudi safari mchana sababu waliogopa usiku wasije kushtukiza na kukutana na mambo ambayo yangewaumiza.

Siku hizi sisi tuna simu basi ukiwa unarudi mtaarifu kabisa mamsapu kuwa kesho natia timu nyumbani ili hata kama kulikuwa na mtu anakusaidia kulinda nyumba yako basi wakati unarudi asiwepo ili uwe na amani.

Unajua kwanini walifanya yote haya ni kwasababu walijua kabisa kwa wao kutojua jambo hakuna madhara lakini wakijua lazima kuwe na madhara ya kimwili na kiakili pia, sijui mmenielewa wanaume wenzangu?

Anyways ni kikao cha dharura hivyo hakina mambo mengi, kazi kwenu kukubaliana na mimi muwe salama au mpinge mpate presha na kukimbia mji wenu.

Ni hayo tu!
Yani mtu unaanzaje anzaje kushika simu ya mkeo au ya mumeo kirahis tu
 
Back
Top Bottom