Kama huwezi Kumuacha basi Usimchunguze!

Yanatokea wanawake mna mengi mnayoyafanya bila waume zenu kujua na wanaume wengi wanachapiwa na hawajui km wanachapiwa, humchukua mwanaume makini kugundua kua mke wake anachapwa nje Ila walio wengi ni NGUMU kugundua sababu hawana kauli kwa wake zao, mwanamke ndio mwenye kauli na ikiwa hivyo basi mwendo wa kujiachia tu nje anachapwa weeee mume ndani anabaki kua mume jina...

KATAA NDOA
 
Hao hawakosekani madam maana wamechanganyikiwa na maisha
Sio kuchanganyikiwa mkuu kataa ndoa hauwezi isikia Afghanistan kwanini ,hakuna usawa kati ya me na ke , tunapinga tunakataa kabsa kwa sababu kwa huu umagharibi hakuna ndoa zaidi ya utapeli tu .
 
Yaani huoni ajabu kuni vulia nguo na kuuona uchi wako na kuuchezea nitakavyo ila unaona ajabu mm kushika simu yako?

Kwanza mwanaume yeyote anaye sema eti hawezi kumuacha mkewe hata afanye kosa gani huyo hana sifa za kuitwa mwanaume na ni mpumbavu, yaani niendelee kuishi na limwanamke lizinzi ndani ya nyumba yangu wakati dunia imejaa wanawake wenye kila aina ya uzuri na kila siku mamilion ya wengine wanazaliwa?
 
"Siwezi lea mama Mwingine, wakati Mama yangu nishazika"

MANENO ya mke wa jamaa Baada ya jamaa kwenda kumpokea mama yake stendi!!

Kama kungekuwa na NAFASI ya kurudi na kumuomba muumna jambo!ningemwambia usiniumbe niache dunia inamateso SANA!
Chief

Huo Uzi niliuona kwakweli nilisikitika basi hata sikusema chochote kile.

How come mke wangu amkatae mama yangu? Aisee angeondoka yeye Kwanza na si mama yangu.

Lkn haya ndio matokeo ya kuoa Watu ambao hawana maadili na utu
 
Chief

Huo Uzi niliuona kwakweli nilisikitika basi hata sikusema chochote kile.

How come mke wangu amkatae mama yangu? Aisee angeondoka yeye Kwanza na si mama yangu.

Lkn haya ndio matokeo ya kuoa Watu ambao hawana maadili na utu
Kwasababu za kiusalama Jamaa aliamua kumpa nauli aende zake na mama alilia Sana nauli ili AONDOKE!!!
 
Kuna nini kilikiukwa kwenye ule uzi? Mbona sikuona kama kuna shida yoyote,au Kuna vitu uliviongeza baadae ikapelekea uzi kuwa deleted?
Hapana mkuu hakuna chochote nilichoongeza, Yani binafsi nimeshangaa kwanini wamefuta lkn nikasema anyways huenda wanajisikia Raha smtm kufanya hivyo.

Ningewaona wapo Makini labda kama wange edit heading kwasababu labda ilikuwa na ukali kidogo
 
Nakubaliana na wewe kabisa chief
💪💪
 
💪💪 Huo ndio ukweli ingawa mchungu chief.
 
Ur the legend chief

Haijalishi hali iko vipi Ila Ndoa ndio kila kitu
 
Hakuna mbinu mahususi ya kumzuia mkeo kugongwa na njemba zingine.
Labda mwanamke mwenyewe aamue tu kutochepuka vinginevyo kuchapiwa kuko pale pale hata ufanyeje.

Kukagua ama kutokagua Simu Yale Wala hakubadilishi chochote.
 
Tuanze na Simu Kwanza madam

Ukiacha usaliti katika Simu,kila mtu anahitaji faragha ya mawasiliano yake, si kila kitu ambacho wewe unawasiliana na ndugu zako au jamaa zako Mimi nikijue, na wewe vile vile si kila kitu ambacho nadili nacho katika Maisha yangu ukijue,sasa tukianza kupekua Simu zetu tunakuwa hatuna faragha.

Pili ukishajua Tu kuwa Katu Simu haitakusaidia kumdhibiti mwenza wako kama anataka kufanya uchafu basi haina hata haja ya kujishughulisha nayo,maadam hajakuvunjia heshima yako wala kuonyesha dharau.

Kubwa mpendane na mheshimiane, hayo ya pembeni anayejua ni Allah.

Lakini Katu usidhani eti kudhiti Simu ndio kila kitu laa unafeli mapema kweupe
 
Aahh...faragha Gani Sasa ya kufichana wanandoa jamani!!!sijaona jipya


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Aahh...faragha Gani Sasa ya kufichana wanandoa jamani!!!sijaona jipya


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kweli wanandoa hawana jipya wala hujakosea

Lakini nje ya ndoa tuna Maisha yetu binafsi, hivi Ni sahihi kweli nijue changamoto zenu za kifamilia, chukulia ndio mmechati mambo yenu ya kike na dada zako let's kuhusiana na changamoto za period zinazo mhusu dada yako ambaye ni shemeji yangu, je ni Sawa kujua hayo?

Huo nimekupa mfano Tu,vipi kuhusu let's say madeni ya familia yenu,kuna haja ya Mimi kuyajua, au uchafu WA ndugu zenu ambao Mimi nawaheshimu je huoni kujua kwangu mambo ya ukweni ambayo huenda nisingepaswa kuyajua yatanifanya niwadharau Sana?

Hiyo kauli uliyosema ni kuhalalisha Tu kupekua Simu ya mwenza wako lkn si Sawa kabisa.
 
Sio kuchanganyikiwa mkuu kataa ndoa hauwezi isikia Afghanistan kwanini ,hakuna usawa kati ya me na ke , tunapinga tunakataa kabsa kwa sababu kwa huu umagharibi hakuna ndoa zaidi ya utapeli tu .
Chief stress ujue mbaya sana
 
Chief

Naona umemiss the point hapa

Huyo jamaa ambaye alifuma hiyo msg ina maana Maisha yalikuwa kama kawaida Tu lkn alipopekua Simu kayakuta aliyoyataka.

Kwahiyo Lau kuwa asingepekuwa Leo hii asingetaka kukimbia nyumba yake.

Sifa ya mwanamke ni kutongozwa na ndio maana wewe ulimtongoza na kumpata,kwahiyo hata akiwa kwako ataendelea kutongozwa Tu.

Sasa pekua Simu yake mara moja mara mbili akishajua kumbe ndio zako kinachofuata anabadili mbinu za kivita, huenda akawa na line mbili moja special Kwa mambo yake, au anajipanga namna ya kuratibu nyendo zake.

Kifupi humuwezi kumchunga mwanamke mzinzi.

Na haipaswi kumvumilia mwanamke mzinzi ila usitafute Shari kama hajakuonyesha Shari.
 
Hakuna mbinu mahususi ya kumzuia mkeo kugongwa na njemba zingine.
Labda mwanamke mwenyewe aamue tu kutochepuka vinginevyo kuchapiwa kuko pale pale hata ufanyeje.

Kukagua ama kutokagua Simu Yale Wala hakubadilishi chochote.
Chief

Nakubaliana na wewe kabisa, kuna Fala mmoja dem akirudi home lazima amvue nguo na kukagua kama kuna watu wamepita lkn bado walipita ndo huyo demu alienda saluni.

Kifupi ni kupoteza Mda Tu kumchunguza mwanamke
 
Yani mtu unaanzaje anzaje kushika simu ya mkeo au ya mumeo kirahis tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…