Kama huwezi kushindana nao ni heri kuungana nao

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
1.Kama NI mtumishi wa umma na ushaambiwa CCM wamejiconnect mpaka na NIDA si Bora ukatafute card ya chama na wewe hata kama huwapendi basi wapende hata kinafki unaweza ukala uteuzi ukijihusisha kwenye jumuiya zao.

2.Pesa ndo inayo run dunia hara ingekuwa wewe kwenye michongo ya hela ingetokea lazima ungepiga Tu.

3.Idadi ya wanasiasa NI chache kuliko matajiri wa nchi hii..wabunge hawazidi 500 kwanini sasa uumie watu 500 kuwa matajiri ila wafanyabiashara wenye hela mamilionea NI zaidi hata ya 10000 so sio kwamba siasa ina hela kihivyo watu wako na hela zao kibao kuliko hata wabunge..

4.CCM imeleta MAENDELEO hata kama hayakuridhishi ila yanaonekana mabarabara Dar n.k

5.Chama cha upinzani NI ngumu kushinda maana hata kanzidata ya wanachama hawana,ofisi kila kijiji hawana,marafiki ma diaspora hawana..n.k hawana hela hawawezi kushinda huo NI ukweli machungu

6.BINAFSI Mimi familia yangu wanalima na wanafanya kazi sioni haja ya kuanza kutetea wengine kila mtu apamvane kwa jasho lake hakuna serikali itakupa hela au itakujengea nyumba.

7.Hakuna watu wa kuleta vuguvugu la mapinduzi hapa Tanzania tazama vijana kila mmoja anataka nafasi ya kuonekana mitandaoni ndo maana ma comedian wengi Wana create kila siku content kiufupi hatuna njaa

Tanzania watu wanaongea Tu mtandaoni kiuhalisia mtaani vijana wanasema October tunatiki hata kama hawana dhamira ya kupiga Kura..masihara NI mengi ndo maana nasemea heri kuungana nao unaweza ukala na wewe nyama ya tembo.

NB:UJUMBE HUU NI KWA AJILI YA WATUMISHI WA SERIKALI
 
Screenshot_20250729-090555~2.png
 
Jitahidi Sana Kwenye Vilinge Vya Kula Usikose Kula..Kwa Kuwa Chakula Ni Dawa....Lakini Kwenye Vilinge Vya Kura Utaamua Wewe Kuwa Jalili Au Maluja....
Sawa mkuu ngoja nitafute kilinge cha chakula nile ili nisikose dawa.
 
Back
Top Bottom