Kama huyo mkeo hujamkuta bikra fukuza huyo mzinzi

Kwani hao wanao watoa wasichana Bikra ni kinanani ? Mbona wanazikuta na kuzitoa lakini bado wanasepa. Wanaume ni waaribifu hata hao wasichana mnao wakuta hawana Bikra mnazani nani kazitoa kama siyo hao [emoji83]
 
Sema sure bana!
 
NAKAZIA
 
hizi bangi sijuh
kuwa makini na bangi unayovuta
 
acha ujinga na upumbavu, mwanamme tangu lini akawa bikira.

Wewe unajua maana ya bikira?

Linapokuja suala la kujamiiana hupaswi kufananisha kati ya mwanamke na mwanamme.

Hizi jinsia mbili ziko tofauti sana linapokuja suala la kujamiiana. Mnafanya makosa kuzifananisha.
 
Wewe unayo hiyo bikra. Haina maana kuwa bikra ili hali wanaotaka kuoa bikra wametumika kama vifutio.
 
mbona umekasirika sana kama una mapepo, shindwa kwa Jina la Yesu. huwezi kujadili bila matusi au wazazi wako hawajakufunza kuheshimu watu wengine?
 
Unasema[emoji2962][emoji2962]??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…