Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 1,949
- 4,759
Nawashangaa, hata mimi yangu ilitoka wakati naendesha baisko ๐น๐น๐นHivi watu wanajua kuwa bikra hutoka hata kwa kuendesha baiskeli tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawashangaa, hata mimi yangu ilitoka wakati naendesha baisko ๐น๐น๐นHivi watu wanajua kuwa bikra hutoka hata kwa kuendesha baiskeli tu?
Nawashangaa, hata mimi yangu ilitoka wakati naendesha baisko ๐น๐น๐น
๐๐๐๐๐ i smell something fishyNawashangaa, hata mimi yangu ilitoka wakati naendesha baisko ๐น๐น๐น
Jamaa aliikuta!!?kwa mtindo wa maisha ya sasa bikira hotaka kirahisi sana mthalani kutokana na stress, uvaaji ngou za ndani, vyakula, mabadiliko ya hali ya hewa, mikito ya safari za baiskeli, bodaboda na dalala
ni vizuri kuzingatia mambo haya kwenye ufukuzaji huo wa wazinzi ๐
Hv baiskel inatoaje bikra?, naomba kuelimishwa maana sielewi kila niki imagineBro unamawazo hasi, bikra ya mwanamke inaweza kutoka Kwa njia mbalimbali Moja wapo inaweza kuwa ilitoka akiwa anajifunza kuendesha baiskeli za migamba zale za kale wanaita mkulima kwaio usikalili et bikra kutoka ad apelekewe moto[emoji16][emoji16]
๐๐๐๐workdone zeroUnaweza kumuoa huyo mdada kwa kigezo kwamba ana bikra ila ukaja chapiwa vilevile huko ndoani [emoji28][emoji28][emoji28]
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app