Kama huyo mkeo hujamkuta bikra fukuza huyo mzinzi

Kama huyo mkeo hujamkuta bikra fukuza huyo mzinzi

Haina noma tuachwe ili uolewe wewe bikira mtakatifu
 
ILA TU SEMENI UKWELI KIPYA NI KIPYA TU, MWANAMKE BIKRA ANA HESHIMA NA DHAMANI ZAKE ACHENI UJINGA WA KUMFANANISHA MWANAMKE ALIEJITUNZA MIAKA YOTE NA MWANAMKE ALIELALA NA WANAUME AMBAO HATA IDADI YAO HAIJULIKANI! MNA ROHO NGUMU SANA WANAUME MNAO OA WANAWAKE USED, KWANGU MIMI SIWEZI
 
kwa mtindo wa maisha ya sasa bikira hotaka kirahisi sana mthalani kutokana na stress, uvaaji ngou za ndani, vyakula, mabadiliko ya hali ya hewa, mikito ya safari za baiskeli, bodaboda na dalala

ni vizuri kuzingatia mambo haya kwenye ufukuzaji huo wa wazinzi ๐Ÿ’
Jamaa aliikuta!!?

Pole Kwa utetezi
 
Labda na wewe uwe bikra vinginevyo ni unafiq/unafiki.

Yeye asiye na dhambi kati yenu, na awe wa kwanza kumtupia jiwe." (Yohana 8:7)
 
Bro unamawazo hasi, bikra ya mwanamke inaweza kutoka Kwa njia mbalimbali Moja wapo inaweza kuwa ilitoka akiwa anajifunza kuendesha baiskeli za migamba zale za kale wanaita mkulima kwaio usikalili et bikra kutoka ad apelekewe moto[emoji16][emoji16]
Hv baiskel inatoaje bikra?, naomba kuelimishwa maana sielewi kila niki imagine
 
Back
Top Bottom