petro matei
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 803
- 937
Homoni za kike zinakusumbua pole sanani mwanume kabisa, tena ondoa Shaka, kwa uhakika zaidi kama unataka ujauzito niPM
Labda alikuwa akipumuliwa anaona wivu. Mapenzi ya mtu yanamhusu nini? Anajua Ben amependa nn kwa huyo toto dogo?mwanangu mbona ume muendama sana ben pol na ebi toke
una interest gan nao?
Mbona mnamuonyesha sura tu? Kuna wengine watakuambia sura hata mbuzi anayo, mwanamke msambwanda. Kuna uzuri wa nje (sura, umbo, rangi) na kuna uzuri wa ndani (tabia, elimu-asili na ya wazungu, uvumilivu,ustaarabu,nk). Ukimdharau mtu kwa muonekano wa nje, unaweza kujinyonga kukuta ndiyo anakuibia mume/mke wako.
Ukweli wa nini wakati wenyewe mioyo yao imekubaliana, ndio nyinyi mawifi mnakua na gubu kwa mke wa kaka bila kujali hisia za kaka yenu, lolsijamuandama Bali naongea ukweli, siyo kama nyie mnaompaka matope
Chek hiyo View attachment 537339
unatuletea edited? au unanamaanisha zile nilizoziweka siyo yeye?Chek hiyo View attachment 537339
Mtoto mbona mtamu huyo ana shida gani..?? Huyu jamaa atakua na chuki binafsi sio siri
hiyo ni edited other wise useme yule aliyeko pale juu siyo yeye
Unamatatizo yani huyo dada ni mzuri kuliko unavyofikilia.Nilipoona watu wanampondea demu aliyeomba kutembea na Ben pol ilibidi na Mimi nijiridhishe kuutafuta ukweli na bahati nzuri nimemuona Live, kwenye video na picha pia.
Hata Mimi nahitimisha kwa kusema kama Ebitoke ndiye huyu basi wanaosema ni mbovu wako sahihi
Nawasilisha
View attachment 537332 View attachment 537334 View attachment 537333