Kama huyu ( pichani) ndiye Ebitoke, nakubaliana na wanaosema haendani na Ben pol ( mbovu)

Kama huyu ( pichani) ndiye Ebitoke, nakubaliana na wanaosema haendani na Ben pol ( mbovu)

Mwenye huu uzi fanya yako maana hata wewe hujachaguliwa uliye naye. Kuna mambo mengi ya wewe kufikiria na haswa kujiondoa katika virusi vya kiakili vinavyokuua.
 
Kwani huyo ben pol wako yukoje au ni nani paka asiendane nae??
 
Mwanaume kuwa mmbea na kukesha unatafuta udaku haifai.au unataka uolewe Na Bernard?
 
Aisee...wiki hii iishe tu..
kuna karoho flani hivi kametawala wiki hii juu ya watu wanao declare kuwa ktk mahusiano.
 
Ili jina nimekutana nalo mabandiko kama ma 3 hivi,na yote hayo sikuyasoma ila nikajenga picha huyu atakuwa msanii wa kiume kutoka Nigeria kumbe ni binti,Tusiofuatilia habari za mastaa huku mikoani tuna tabu kweli [emoji23]
 
Hapo kajiweka kisanii wewe !! nafasi yake anaigiza kama msichana mshamba !! hizo make up za kishambaa zote na kwa ajili ya kutengeneza uhusika huo ila nje ya usanii ni msichana mdogo na mrembo kabisa
Huyu jamaa ni mshamba[emoji23][emoji23][emoji23]
Hajui ht character ya ebitoke..
 
Ili jina nimekutana nalo mabandiko kama ma 3 hivi,na yote hayo sikuyasoma ila nikajenga picha huyu atakuwa msanii wa kiume kutoka Nigeria kumbe ni binti,Tusiofuatilia habari za mastaa huku mikoani tuna tabu kweli [emoji23]

hahahaha! ni binti Wa kihaya kule kwa akina Katelelo
 
Back
Top Bottom