Kama huyu ( pichani) ndiye Ebitoke, nakubaliana na wanaosema haendani na Ben pol ( mbovu)

Dah nimefuatilia post zako nyiiingi unaonesha hupendi wenzako wapendane.. hapa nimegundua kuna vitu viwili ulivyonavyo kama ni mwanaume basi wewe ni SHOGA na kama ni mwanamke una wivu wa kisenge sana...
Kama unataka kutombwa na huyo BENPOL MPELEKEE HIYO MBUNYE AKUGEGEDE.. Maaana hauna akili kichwani..
 
Uyujamaa mshamba sjapata kuona km umeoa mkeo ana shida na km umeolewa mmeo ana shida km bado kjana bac km we wakiume uchunguzwe ya wezekana ikawa ya wale wa ndoa za jnsia moja.
 
Uyujamaa mshamba sjapata kuona km umeoa mkeo ana shida na km umeolewa mmeo ana shida km bado kjana bac km we wakiume uchunguzwe ya wezekana ikawa ya wale wa ndoa za jnsia moja.

poor you!!!
 
Mtoa uzi acha mambo ya kishoga bhna.......hu ar u adi unamsema mtu kua ni mbovu??? Uzur wa mtu upo machoni kwa mtu as long as hajakufata wewe waache na maisha yao....threads kibao kusema couple ya wenzio inakuhusu nin? Mi sio muongeaji sana bt kwa hili umezingua mkuu.....huwez kumuamulia benpol msichana wa kua nae.........get busy
 
Kama we unajiona mrembo kuliko Ebitoke basi hujachelewa, acha wivu waimba Bongo Fleva wapo wengi, unaweza kutoka hata na Hamoniwiza
 
Mapenzi haya chagui aseeeee cha msingi demu awe na miaka zaidi ya 18 na dude liwe na miaka zaidi ya 21 kituuuu imooooooooo
 
Vipi ulikuwa unamvizia Ben pol utoke nae? Unga foleni nawe umpe mapenzi motomoto zaidi ya huyo dada
 
Mmmm.......jamani nimeshindwa kustahamili imebidi niseme na mm japo mtatoa maneno niunganisheni na huyo Ben pol nampenda rohoni
 
Huyo binti ni mzuli hata kama sjui kuchagua lkn kwa macho yangu nimejiridhisha asee ni mzuli sana sema hili la ubikra hili akadanganye watoto
 
Kama bado mnaamini wanachokifanya hawa wasanii wa bongo basi endeleeni kuwaamini.

Mimi mtu akiitwa msanii tu basi najua uhalisia wa mambo haupo
 
Kwahiyo ulimla!!!! we bwana ni kiboko
 
Acha wapendane, kama wewe unaona mbaya wengine wanamuona mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…