Uzur unaupimia wapi?Nilipoona watu wanampondea demu aliyeomba kutembea na Ben pol ilibidi na Mimi nijiridhishe kuutafuta ukweli na bahati nzuri nimemuona Live, kwenye video na picha pia.
Hata Mimi nahitimisha kwa kusema kama Ebitoke ndiye huyu basi wanaosema ni mbovu wako sahihi
Nawasilisha
View attachment 537332 View attachment 537334 View attachment 537333
Hujui wanamtengenezea kick, hata wanaoanzisha hzi ni wao wenyewe wanatafta kick huyo demu atoke. All in all yote ni maigizo
Labda jamaa ana dada yake anataka kumpindua ebitokemwanangu mbona ume muendama sana ben pol na ebi toke
una interest gan nao?
Ndio jana alikuwa nae kwa saida utamjua kama ebitoke?alaf ben pol atakuwa anamla kweli.Mbona yuko vizuri tu huyo binti.
Hapo picha zote mbona yuko kikazi.
Itakua alikua demu wake sasa amemwagwa ameona amkandie mitandaonimwanangu mbona ume muendama sana ben pol na ebi toke
una interest gan nao?
Itakua alikua demu wake sasa amemwagwa ameona amkandie mitandaoni
Acha wivu MZEE utampangiaje MTU maamuzi?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nilipoona watu wanampondea demu aliyeomba kutembea na Ben pol ilibidi na Mimi nijiridhishe kuutafuta ukweli na bahati nzuri nimemuona Live, kwenye video na picha pia.
Hata Mimi nahitimisha kwa kusema kama Ebitoke ndiye huyu basi wanaosema ni mbovu wako sahihi
Nawasilisha
View attachment 537332 View attachment 537334 View attachment 537333
hahahahaLabda jamaa ana dada yake anataka kumpindua ebitoke