Anawaonea wivumwanangu mbona ume muendama sana ben pol na ebi toke
una interest gan nao?
Wewe ulienae unaendana nae""""""Nilipoona watu wanampondea demu aliyeomba kutembea na Ben pol ilibidi na Mimi nijiridhishe kuutafuta ukweli na bahati nzuri nimemuona Live, kwenye video na picha pia.
Hata Mimi nahitimisha kwa kusema kama Ebitoke ndiye huyu basi wanaosema ni mbovu wako sahihi
Nawasilisha
View attachment 537332 View attachment 537334 View attachment 537333
true datAnawaonea wivu
Huyu jamaa ni mshamba[emoji23][emoji23][emoji23]Hapo kajiweka kisanii wewe !! nafasi yake anaigiza kama msichana mshamba !! hizo make up za kishambaa zote na kwa ajili ya kutengeneza uhusika huo ila nje ya usanii ni msichana mdogo na mrembo kabisa
Ili jina nimekutana nalo mabandiko kama ma 3 hivi,na yote hayo sikuyasoma ila nikajenga picha huyu atakuwa msanii wa kiume kutoka Nigeria kumbe ni binti,Tusiofuatilia habari za mastaa huku mikoani tuna tabu kweli [emoji23]
[emoji23] [emoji23] mkuu yaani leo kupitia uzi huundio nimefaham ukwelihahahaha! ni binti Wa kihaya kule kwa akina Katelelo
Nakupenda ki jf jfmwanangu mbona ume muendama sana ben pol na ebi toke
una interest gan nao?