Umejuaje?
Toa chanzo cha hayo yote
Kwanini iwe hivyo?
Toa sababu na ufafanue
Una uhakika na unachosema?
Kwanini tukuamini wewe?
Unaweza kudhibitisha?
Una nia gani? ya kuleta hapa?
Na Kwanini ulete hapa?
Umefikiria nini mpaka uandike hivyo Na kuleta hapa?
Unatambua Kwamba hayo maneno uliyoandika unaweza kukatisha watu wengine tamaa?
Ukishindwa kujibu basi tambua huo ni muono wako tu, na kila mtu ana maono yake, kwa hiyo usijaribu kuaminisha watu wengine muono wako, baki nao, sababu kila mtu ana wake.