Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari za Diamond front page? tena uzinzi? Hivi watanznia ni kweli tuna kiu ya habari za aina hii? mbona kuna mambo mengi yanendelea nchini watu wanahitaji kujuzwa.
Akibainika muathirika wa jambo gani? Maana kwa utunzi wa namna hiyo wa Kichwa cha habari nina wasiwasi imekuzwa tu ili watu wanunue gazeti....si ajabu ndani ukakuta wanaelezea uathirika hata wa mafuriko.
haha :smile-big: !! Kwani Mtu akiendekeza zinaa anaathirika na mafuriko???
Hahahah hakuna mahali tumeandikiwa zinaa mkuu...magazeti haya ya udaku yana lugha fulani zinazovutia sana wanunuzi
Akibainika muathirika wa jambo gani? Maana kwa utunzi wa namna hiyo wa Kichwa cha habari nina wasiwasi imekuzwa tu ili watu wanunue gazeti....si ajabu ndani ukakuta wanaelezea uathirika hata wa mafuriko.[/QUOTE]
kama siku hizi ukiendekeza zinaa na kubadilisha wasichana kila siku unaathirika kwa mafuriko basi utakuwa sahihi kabisa mkuu
wameandika akibainika ni muathirika wa HIV soma vizuri gazet apo juu
Okay nimeona mkuu...habari za masiku kaka umepotea sana
Habari za Diamond front page? tena uzinzi? Hivi watanznia ni kweli tuna kiu ya habari za aina hii? mbona kuna mambo mengi yanendelea nchini watu wanahitaji kujuzwa.
Hahahah hakuna mahali tumeandikiwa zinaa mkuu...magazeti haya ya udaku yana lugha fulani zinazovutia sana wanunuzi
Always unapoajiri watu wa kukopi na ku paste dizaini ya bongo fleva ndipo unapata habari kama hizi. Sasa Diamond ana faida gani kwa taifa letu au anasaidia nini katika jamii ya Tanzania mpaka awe front page?