Kama ikibainika ni muathirika familia 12 kulia na kusaga meno

Magazeti ya Kiu haya hata kwenye website hayapo yanatia kinyaa saa nyingine.
 
Habari za Diamond front page? tena uzinzi? Hivi watanznia ni kweli tuna kiu ya habari za aina hii? mbona kuna mambo mengi yanendelea nchini watu wanahitaji kujuzwa.
 
ndio maana kuna magazet mengine ya siasa pia,magazet ya udaku yapo dunia nzima na ayakwepek,na ndio yanayoongozwa kwa kuuzwa
 
Akibainika muathirika wa jambo gani? Maana kwa utunzi wa namna hiyo wa Kichwa cha habari nina wasiwasi imekuzwa tu ili watu wanunue gazeti....si ajabu ndani ukakuta wanaelezea uathirika hata wa mafuriko.
 
haha :smile-big: !! Kwani Mtu akiendekeza zinaa anaathirika na mafuriko???
 
Hahahah hakuna mahali tumeandikiwa zinaa mkuu...magazeti haya ya udaku yana lugha fulani zinazovutia sana wanunuzi

wameandika akibainika ni muathirika wa HIV soma vizuri gazet apo juu
 
Akibainika muathirika wa jambo gani? Maana kwa utunzi wa namna hiyo wa Kichwa cha habari nina wasiwasi imekuzwa tu ili watu wanunue gazeti....si ajabu ndani ukakuta wanaelezea uathirika hata wa mafuriko.[/QUOTE]

kama siku hizi ukiendekeza zinaa na kubadilisha wasichana kila siku unaathirika kwa mafuriko basi utakuwa sahihi kabisa mkuu
 
Habari za Diamond front page? tena uzinzi? Hivi watanznia ni kweli tuna kiu ya habari za aina hii? mbona kuna mambo mengi yanendelea nchini watu wanahitaji kujuzwa.

Always unapoajiri watu wa kukopi na ku paste dizaini ya bongo fleva ndipo unapata habari kama hizi. Sasa Diamond ana faida gani kwa taifa letu au anasaidia nini katika jamii ya Tanzania mpaka awe front page?
 
Hahahah hakuna mahali tumeandikiwa zinaa mkuu...magazeti haya ya udaku yana lugha fulani zinazovutia sana wanunuzi

Hiyo lugha ya kumfanya mtu anunue hizi habari za Ze Comedy ni ya kingumbalu zaidi na huwapata watu wenye akili finyu. Waandishi wa habari wengi wa kibongo wako hivi hawana tofauti na watangazaji wa Clouds. Kichwa cha habari kitamuuu lakini ukisikiliza simulizi zao ni za kijinga, yaani unabaki kuwasikitikia tu. Anyways, pole kwa aliyenunua hili gazeti na kukuta ni mafuriko yale ya Jangwani ambayo yalimzuia Diamond kupita kwenda kusaka demu mpya.
 
Always unapoajiri watu wa kukopi na ku paste dizaini ya bongo fleva ndipo unapata habari kama hizi. Sasa Diamond ana faida gani kwa taifa letu au anasaidia nini katika jamii ya Tanzania mpaka awe front page?

mkuu diamond ni celebrity na watu wengi wanapenda kujua habari zake,pia habari za gossip na celebrities,relationship ndio zinazopendwa sana na kuuza sana,na zipo dunia nzima
 
Back
Top Bottom