Kama ikiwa hivyo basi Wema Sepetu atavunja rekodi Tanzania

Kukosa elimu na kuelimika ni tatizo kubwa. Ongeza na ulimbukeni wa vijisenti. Dogo hana washauri it is just a matter of time!!!!
 
Kila wanacho sema na kufanya Wema+Diamond+Mama Wema wanafanya kuvuta masikio ya watu ili baadae watengeneze hela!
Sasa kama Mama Wema anafikiri thamani ya mtu inapimwa kwenye pesa basi hiyo hela bado hailingani na thamani ya utu!
Hii ni story tuu ya kukuza jina na kuteka media tuu!
 
million 100 mnaiona nyingi km ndomo ana billion 1 kwenye akaunti kuna tatizo akichomoa m 100 km mahali...vilevile wema hatokuwa mwanamke ghali...hajashuhudia mahali za wasukuma
 
Ngoja tunyamaze sie tusije tukawekwa lupango kama matikibokoyao yule mpambe wa wema, nyie binamu kajala mshenzi hatar, dah anazidi kuonyesha jeuri ya pesa

Binamu usiogope...yule anayekamata watu yupo msibani Tangaaaaa, anajipiga selfie tu saa hizii...

We tiririka tu kama maji ya mlima Kilimanjarrrrrooo....
 
Ngoja tunyamaze sie tusije tukawekwa lupango kama matikibokoyao yule mpambe wa wema, nyie binamu kajala mshenzi hatar, dah anazidi kuonyesha jeuri ya pesa

Bina niambiee banaaa jeuri kaionyeshajeeeee,nae anataka masifa tu anunuage nyumba apate pa kumstiri haoni kua ana mtoto!!!!!
 
Bina niambiee banaaa jeuri kaionyeshajeeeee,nae anataka masifa tu anunuage nyumba apate pa kumstiri haoni kua ana mtoto!!!!!

shoga ako yalimkuta, si unakumbuka ile operation ya lemutuz kuhusu watu wanaotukana mitandaoni? sasa bibie matilda aka matikibokoyao akadakwa akawekwa lupango siku mbili akalala, sasa mama ubaya na timu yake wakaenda polisi kumtoa ila hawakufanikiwa wakarudi nyumban wakamuacha bibie lupango, siku ya pili bibie mama ubaya akaenda tena polisi kwa mbwembwe kumtoa mpambe wake ila si unajua kajala ana nguvu sana sasa ivi ya pesa? so akatia ngumu akakataa kumtoa polisi, ikabidi waanze kumuomba msamaha kajala wayamalize kifamilia, siku ya tatu wakaongea wakayamaliza ndo bibie kutoka, chezeya bosslady kajala weye, mama ubaya tupa kule, makofi tafadhali kwa pedeshee kajala
 

Kwa kwa..
 
tread hii inaibua mengine sasa maana cc hatujui hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…