BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Chai za ig hizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mtu anatembelea gari ya milioni 300 atashindwa kulipa mahari ya milioni 100?
Tunasubiriaaaa
Kama mtu anatembelea gari ya milioni 300 atashindwa kulipa mahari ya milioni 100?
hiyo million mia ya zimbwabwe au uganda? tumeshawachoka na wenyewe
ana nyota ya hela na mama mtu ndo anamuuzia diamond nyota hiyo hivi warumi yupo wapi
Eee itakua ya zimbambweee
Ngoja tunyamaze sie tusije tukawekwa lupango kama matikibokoyao yule mpambe wa wema, nyie binamu kajala mshenzi hatar, dah anazidi kuonyesha jeuri ya pesa
Ngoja tunyamaze sie tusije tukawekwa lupango kama matikibokoyao yule mpambe wa wema, nyie binamu kajala mshenzi hatar, dah anazidi kuonyesha jeuri ya pesa
Bina niambiee banaaa jeuri kaionyeshajeeeee,nae anataka masifa tu anunuage nyumba apate pa kumstiri haoni kua ana mtoto!!!!!
Bina niambiee banaaa jeuri kaionyeshajeeeee,nae anataka masifa tu anunuage nyumba apate pa kumstiri haoni kua ana mtoto!!!!!
shoga ako yalimkuta, si unakumbuka ile operation ya lemutuz kuhusu watu wanaotukana mitandaoni? sasa bibie matilda aka matikibokoyao akadakwa akawekwa lupango siku mbili akalala, sasa mama ubaya na timu yake wakaenda polisi kumtoa ila hawakufanikiwa wakarudi nyumban wakamuacha bibie lupango, siku ya pili bibie mama ubaya akaenda tena polisi kwa mbwembwe kumtoa mpambe wake ila si unajua kajala ana nguvu sana sasa ivi ya pesa? so akatia ngumu akakataa kumtoa polisi, ikabidi waanze kumuomba msamaha kajala wayamalize kifamilia, siku ya tatu wakaongea wakayamaliza ndo bibie kutoka, chezeya bosslady kajala weye, mama ubaya tupa kule, makofi tafadhali kwa pedeshee kajala
tread hii inaibua mengine sasa maana cc hatujui hayoshoga ako yalimkuta, si unakumbuka ile operation ya lemutuz kuhusu watu wanaotukana mitandaoni? sasa bibie matilda aka matikibokoyao akadakwa akawekwa lupango siku mbili akalala, sasa mama ubaya na timu yake wakaenda polisi kumtoa ila hawakufanikiwa wakarudi nyumban wakamuacha bibie lupango, siku ya pili bibie mama ubaya akaenda tena polisi kwa mbwembwe kumtoa mpambe wake ila si unajua kajala ana nguvu sana sasa ivi ya pesa? so akatia ngumu akakataa kumtoa polisi, ikabidi waanze kumuomba msamaha kajala wayamalize kifamilia, siku ya tatu wakaongea wakayamaliza ndo bibie kutoka, chezeya bosslady kajala weye, mama ubaya tupa kule, makofi tafadhali kwa pedeshee kajala
tread hii inaibua mengine sasa maana cc hatujui hayo