Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
shoga ako yalimkuta, si unakumbuka ile operation ya lemutuz kuhusu watu wanaotukana mitandaoni? sasa bibie matilda aka matikibokoyao akadakwa akawekwa lupango siku mbili akalala, sasa mama ubaya na timu yake wakaenda polisi kumtoa ila hawakufanikiwa wakarudi nyumban wakamuacha bibie lupango, siku ya pili bibie mama ubaya akaenda tena polisi kwa mbwembwe kumtoa mpambe wake ila si unajua kajala ana nguvu sana sasa ivi ya pesa? so akatia ngumu akakataa kumtoa polisi, ikabidi waanze kumuomba msamaha kajala wayamalize kifamilia, siku ya tatu wakaongea wakayamaliza ndo bibie kutoka, chezeya bosslady kajala weye, mama ubaya tupa kule, makofi tafadhali kwa pedeshee kajala
Hapa ndio hua naumwa nikikukosa jamiii, kumbe yalikua hivyoo.aiseee kajala kiboko kwa hiyo maltida yule wa shigongo au mwingineee