Kama ikiwa hivyo basi Wema Sepetu atavunja rekodi Tanzania

Kama ikiwa hivyo basi Wema Sepetu atavunja rekodi Tanzania

shoga ako yalimkuta, si unakumbuka ile operation ya lemutuz kuhusu watu wanaotukana mitandaoni? sasa bibie matilda aka matikibokoyao akadakwa akawekwa lupango siku mbili akalala, sasa mama ubaya na timu yake wakaenda polisi kumtoa ila hawakufanikiwa wakarudi nyumban wakamuacha bibie lupango, siku ya pili bibie mama ubaya akaenda tena polisi kwa mbwembwe kumtoa mpambe wake ila si unajua kajala ana nguvu sana sasa ivi ya pesa? so akatia ngumu akakataa kumtoa polisi, ikabidi waanze kumuomba msamaha kajala wayamalize kifamilia, siku ya tatu wakaongea wakayamaliza ndo bibie kutoka, chezeya bosslady kajala weye, mama ubaya tupa kule, makofi tafadhali kwa pedeshee kajala

Hapa ndio hua naumwa nikikukosa jamiii, kumbe yalikua hivyoo.aiseee kajala kiboko kwa hiyo maltida yule wa shigongo au mwingineee
 
Atakua wa kwanza kuolewa kwa hio mahari na kutangazwa kwenye magazeti na radio,,,,,,,, but mbona watu wanaolewa kwa mahari za daf ,,,, scania wako kimya
 
Binamu usiogope...yule anayekamata watu yupo msibani Tangaaaaa, anajipiga selfie tu saa hizii...

We tiririka tu kama maji ya mlima Kilimanjarrrrrooo....

Hhhhhaaaaaaaa weeee usimdanganye binam yangu buree
 
hao ni waislam bint ndo hutaja mahari yake kama wema amesema nibure hiyo ndo itakuwa mahari sahihi
 
Ananisimulia mie ndio kaniquote we soma tu

ebu nipokee binamu, mtu ukiona mazungumzo hayakuhusu pita kuleeee, ebu tuendelee sisi apa, maana nilimisi umbea kiama, kwa hiyo ndo vile binamu, cha upambe ndo yaliyomkuta, kalala polisi aiku mbili mamaye, si wanamuonaga mama ubaya ndo mungu mtu wao, sasa kilichomfanya alale ni kitu gan? ndo timu zao wajifunze sasa
 
ebu nipokee binamu, mtu ukiona mazungumzo hayakuhusu pita kuleeee, ebu tuendelee sisi apa, maana nilimisi umbea kiama, kwa hiyo ndo vile binamu, cha upambe ndo yaliyomkuta, kalala polisi aiku mbili mamaye, si wanamuonaga mama ubaya ndo mungu mtu wao, sasa kilichomfanya alale ni kitu gan? ndo timu zao wajifunze sasa

Hhhhhaaaaaaaa warumi kibokoo aiseee ee bina walikomeshwaaa yaan police wakawazuiaa alaa alidhan akifika police tu nao ni timu yake hhhhaaaaaaa
 
ni kweli nimepishana nae kwa papa. vipi warumi acha woga bana yule alidakwa kwa kuchomwa maana kumbuka mwanzo kajala na wema walikua team moja hivyo wanajuana

Aisee ukipishana nae tena mwambie nampa hi tu ... ila naomba laki moja
 
Last edited by a moderator:
Sipati picha tabia za mazao yao zitakavyokuwa,any way mungu awabariki sana.
 
na akumbuke mahari huwa haiishi.nishashuudia ndugu wanalipa mahari ya babu yao alikuwa hajamaliza hadi amefariki
 
Back
Top Bottom