Binamu karudi?!!
Kukosa elimu na kuelimika ni tatizo kubwa. Ongeza na ulimbukeni wa vijisenti. Dogo hana washauri it is just a matter of time!!!!
hiyo million mia ya zimbwabwe au uganda? tumeshawachoka na wenyewe
View attachment 192371 mi naona mzee wa ngololo akitoa iyo milion 100 ni haki kabisa mtoto mzuriii tena mashaallah
Hiyo michirizi mbona ni shiiiida kah sijui alifanyaje ikamtoka mingi hivo na inaharibu sana hiyo atafte dawa
Wanasema dawa inapunguza tu haimalizi tatizo, hapo hajazaa akizaa hutamuona anaachia tumbo maana anaonekana anayo michiriz mingi
Wanasema dawa inapunguza tu haimalizi tatizo, hapo hajazaa akizaa hutamuona anaachia tumbo maana anaonekana anayo michiriz mingi
Hii yake imezidi ka zebra na mikorogo inachangia sana hii michirizi na inaharibu hatar tena akiwa mja nwepesi itazidi mara dufu akitumia kitu ina pungua haya mamikorogo yao wanayo tumia ni shiiida
binamu yani apa ata sipigi umbea vizur, jamii forum application yangu ata haifany jaz, nime download inakataa kuji install, dah ini shidaaa, sijui itakuwaje
Kwanini punguza vitu kwenye simu labda umejaza mno ukiinstall inakuandikiaje kwenye play store
Umelewa gongo viroba na ugoroView attachment 192221
Kumekuwa na tetesi kuhusu muigizaji na mwanamitindo Wema Sepetu, kutaka kufunga ndoa na mwanamuziki nguli wa bongo fleva Diamond, kwa mujibu wa mama yake Wema amefunguka na kusema kama Diamond atataka kumwoa mwanawe itamghalimu kutoa tsh milion 100 kama mahali ya mwanawe uyo, kama alivyohojiwa na blog moja hapa Dar.
Wachunguzi wa mambo ya ndoa tunaona kama Wema Sepetu atatolewa pesa hizo na Diamond kama mahali basi atavunja rekodi kuwa mwanamke pekee Tanzania kuolewa kwa pesa nyingi ,lakini we ma mwenyewe amedai yuko tayari kuolewa na Diamond hata bure.
acha chuki binafsi kwa mwenzako ,kama mzuri mzuri ,na kama wewe furukujombe furukujombe tuu acha chuki mkuuUmelewa gongo viroba na ugoro
mistar kama waaaat?Hii yake imezidi ka zebra na mikorogo inachangia sana hii michirizi na inaharibu hatar tena akiwa mja nwepesi itazidi mara dufu akitumia kitu ina pungua haya mamikorogo yao wanayo tumia ni shiiida
Kwa kutoa millioni 100 ananunua nini?