Kama ikiwa hivyo basi Wema Sepetu atavunja rekodi Tanzania

Kama ikiwa hivyo basi Wema Sepetu atavunja rekodi Tanzania

Kukosa elimu na kuelimika ni tatizo kubwa. Ongeza na ulimbukeni wa vijisenti. Dogo hana washauri it is just a matter of time!!!!

Kweli tupu aisee uelewa ni janga kwa wasanii wengi na kupenda sifa za kijinga na kuandikwa upuuzi
 
ImageUploadedByJamiiForums1413041007.389049.jpg mi naona mzee wa ngololo akitoa iyo milion 100 ni haki kabisa mtoto mzuriii tena mashaallah
 
Hiyo michirizi mbona ni shiiiida kah sijui alifanyaje ikamtoka mingi hivo na inaharibu sana hiyo atafte dawa

Wanasema dawa inapunguza tu haimalizi tatizo, hapo hajazaa akizaa hutamuona anaachia tumbo maana anaonekana anayo michiriz mingi
 
Wanasema dawa inapunguza tu haimalizi tatizo, hapo hajazaa akizaa hutamuona anaachia tumbo maana anaonekana anayo michiriz mingi

binamu yani apa ata sipigi umbea vizur, jamii forum application yangu ata haifany jaz, nime download inakataa kuji install, dah ini shidaaa, sijui itakuwaje
 
Itakua analipia tangu walipo anzana mpk watakapo oana
 
Wanasema dawa inapunguza tu haimalizi tatizo, hapo hajazaa akizaa hutamuona anaachia tumbo maana anaonekana anayo michiriz mingi

Hii yake imezidi ka zebra na mikorogo inachangia sana hii michirizi na inaharibu hatar tena akiwa mja nwepesi itazidi mara dufu akitumia kitu ina pungua haya mamikorogo yao wanayo tumia ni shiiida
 
aseee kumbe naweza kuinvest kwenye uzazi....
ngoja nikomae!!!!
 
Hii yake imezidi ka zebra na mikorogo inachangia sana hii michirizi na inaharibu hatar tena akiwa mja nwepesi itazidi mara dufu akitumia kitu ina pungua haya mamikorogo yao wanayo tumia ni shiiida

Yaan ni shidaaaaa hii michirizi ni ugonjwa wa taifa
 
binamu yani apa ata sipigi umbea vizur, jamii forum application yangu ata haifany jaz, nime download inakataa kuji install, dah ini shidaaa, sijui itakuwaje

Kwanini punguza vitu kwenye simu labda umejaza mno ukiinstall inakuandikiaje kwenye play store
 
Kwanini punguza vitu kwenye simu labda umejaza mno ukiinstall inakuandikiaje kwenye play store

na download mpaka mwisho, wakat wa ku install ndo inaji install mpaka kesho kutwa, ilikuwa inasumbua ndo nika un install najaribu kudownload inazingua, yan napitwaje maana uku ninakoingilia jf ata sijapazoea mtu akini quote sijui wala nn mpaka niingie kuchungulia, nime mind kwel
 
View attachment 192221

Kumekuwa na tetesi kuhusu muigizaji na mwanamitindo Wema Sepetu, kutaka kufunga ndoa na mwanamuziki nguli wa bongo fleva Diamond, kwa mujibu wa mama yake Wema amefunguka na kusema kama Diamond atataka kumwoa mwanawe itamghalimu kutoa tsh milion 100 kama mahali ya mwanawe uyo, kama alivyohojiwa na blog moja hapa Dar.

Wachunguzi wa mambo ya ndoa tunaona kama Wema Sepetu atatolewa pesa hizo na Diamond kama mahali basi atavunja rekodi kuwa mwanamke pekee Tanzania kuolewa kwa pesa nyingi ,lakini we ma mwenyewe amedai yuko tayari kuolewa na Diamond hata bure.
Umelewa gongo viroba na ugoro
 
Hii yake imezidi ka zebra na mikorogo inachangia sana hii michirizi na inaharibu hatar tena akiwa mja nwepesi itazidi mara dufu akitumia kitu ina pungua haya mamikorogo yao wanayo tumia ni shiiida
mistar kama waaaat?
 
Back
Top Bottom