Kama Ikulu, Polisi na Idara zote za Serikali zinafunga “comments”, basi Umma umeshinda

Kama kuanzia huyo “Rais” mwenyewe na Ikulu yake wakichapisha chochote mtandaoni wanafunga comments, maana yake Umma umeshinda.

Jeshi la Polisi, Idara, viongozi binafsi na taasisi zote ambazo zinalalamikiwa kwa dhulma na maovu pia wanafunga comments, kuanzia Msemaji wa Serikali hadi akina Bashungwa na Mwigulu pia.

Maana yake wote hawa wanateswa na dhamira zao.

Nahitimisha kuwa Umma umeshinda na mwizi siku si nyingi atapakimbia Tanganyika. Kwa kifupi nchi haina Uongozi halali, TUNAONGOZWA NA MAHARAMIA, MANYONYA DAMU.
Ngoja nikuambia. Ukisikia mtu anasema yeye ni msafi na hataki watu wamchafue ujue huyo ni mchafu. Siku zote uchafu ufuata uchafu na ufasi ufuata mtu msami.

Huwezi kuwa msafi ukafuatwa na uchafu kama wanavyosema
 
Sasa hivi naona wameifungia TikTok, inalazimu kuingia kwa VPN.

Naona hawataki tumsikilize mpendwa wetu RACHEL DANGWA 😀😀😀
 
Ninavyoona kuna magenge ya uhalifu yalingizwa inchini kuja kusaidiana kuuwa raia siyo bure
 
Kama kuanzia huyo “Rais” mwenyewe na Ikulu yake wakichapisha chochote mtandaoni wanafunga comments, maana yake Umma umeshinda.

Jeshi la Polisi, Idara, viongozi binafsi na taasisi zote ambazo zinalalamikiwa kwa dhulma na maovu pia wanafunga comments, kuanzia Msemaji wa Serikali hadi akina Bashungwa na Mwigulu pia.

Maana yake wote hawa wanateswa na dhamira zao.

Nahitimisha kuwa Umma umeshinda na mwizi siku si nyingi atapakimbia Tanganyika. Kwa kifupi nchi haina Uongozi halali, TUNAONGOZWA NA MAHARAMIA, MANYONYA DAMU.
Sasa wanaogopa Nini
Wakati asilimia 98 ya wananchi wako upande wao
Si watawatetea kwenye comment
 
Back
Top Bottom