Kama Ikulu, Polisi na Idara zote za Serikali zinafunga “comments”, basi Umma umeshinda

Ngoja nikuambia. Ukisikia mtu anasema yeye ni msafi na hataki watu wamchafue ujue huyo ni mchafu. Siku zote uchafu ufuata uchafu na ufasi ufuata mtu msami.

Huwezi kuwa msafi ukafuatwa na uchafu kama wanavyosema
 
Sasa hivi naona wameifungia TikTok, inalazimu kuingia kwa VPN.

Naona hawataki tumsikilize mpendwa wetu RACHEL DANGWA 😀😀😀
 
Ninavyoona kuna magenge ya uhalifu yalingizwa inchini kuja kusaidiana kuuwa raia siyo bure
 
Sasa wanaogopa Nini
Wakati asilimia 98 ya wananchi wako upande wao
Si watawatetea kwenye comment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…