Kama Ilani ya CCM 2015/2020 ilitekelezwa kwa zaidi ya 95 mbona Mawaziri wanatumbua tumbua watendaji kila kona?

Wabunge wa CCM watarushiana madongo na Covid 19 kutoka Ufipa!
Kibajaji akirusha ngumi kwa Lema ilikua inajibiwa kwa uzito unaowiana, sasa leo akirusha kwa Esther Matiko ni unyanyasaji wa kijinsia. Pia ujue hao Covid 19 wako chini ya mbawa za KITI kikuu cha bunge, hawapaswi kurushiwa ngumi.
 
Leo naona umepona kidogo ugonjwa wako
 
Hajui hata anafanya nini
 
100% au 95% Ni kudhalilisha bado tupo hoi kiuchumi no more
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…