Kama ilishautokea wakati mnawasiliana ulifanyaje?

Kama ilishautokea wakati mnawasiliana ulifanyaje?

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Unampigia simu mpenzi wako

Wewe:mambo vipi mpenzi
Mpenzi😛oa mambo vipi Aisha
Wewe:aaah mi siyo Aisha bhana
Mpenzi:sorry my dia nimechanganya,mambo vipi lakini Lucy
Wewe:aaah mi siyo Lucy we vipi jamani!
Mpenzi:Aaah kumbe Joyce,mambo vipi mpenzi
Wewe:yah mi Joyce,niko poa mambo vipi


upande mwingine

Wewe:mambo vipi mpenzi
Mpenzi😛oa tu,nimekumiss Alex
Wewe:Mimi siyo Alex bhana
Mpenzi:Jamani nimechanganya i'm sorry Ally.
Wewe:Mi siyo Ally we vipi?
Mpenzi:kumbe Andrew!
Wewe: yah


Baada ya hapo utafanya maamuzi gani,kwanza inaonekana mko zaidi ya wawili,halafu pia huna uhakika.
kama ulikutokea au ikikutokea utafanya uamuzi gani?
 
Level mi ntapiga chini fasta, mi moyo wa samli sihimili joto aisee.
 
Last edited by a moderator:
Huyo cheater si mzoefu, muulize The Boss. Wenzako hawataji majina, anatumia maneno kama sweetie, love etc!
Ila mimi, kwa kulijua hilo nasisitiza kutajwa jina! LOL

Kujibu swali lako, ikinitokea ndio mwisho wa uhusiano.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Huyo cheater si mzoefu, muulize The Boss. Wenzako hawataji majina, anatumia maneno kama sweetie, love etc!
Ila mimi, kwa kulijua hilo nasisitiza kutajwa jina! LOL

Kujibu swali lako, ikinitokea ndio mwisho wa uhusiano.
Kaunga lazima kutaja jina coz kuna wengine unaona anamumunya maneno live
 
Last edited by a moderator:
TaiJike wangu usinipige chini,we ndo kila kitu kwangu,wewe ndo unanifanya nionekane mjanja

Kukumbatia mto kila usiku kisa Level yuko kwa Nyaro anakuchanganya kama samaki changu sitaweza kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Cheupe...Cheupe...Cheupe...Cheupe Wa wapi huyu??
Kwani una akina cheupe wangapi?
Ahaa...! Kwani wewe si... ni cheupe wa.... nikumbushe basi!
Kumbe una Cheupe wengi? Ebu ishia huko! Tusijuane.
Ebu ngoja basi mpenzi....(ah! ...achana nae mbona niao wengi?).
 
Back
Top Bottom