Hapo chini ni picha za mmea uitwao muhaladari, wengine wanaita mdodoma. Kisayansi unaitwa panama berry tree. Picha ya kwanza imepigwa wakati wa usiku na nyingine wakati wa asubuhi. Kinachoonekana ni kwamba wakati wa usiku majani husinyaa na kufumba kabisa (kulala). Ikifika asubuhi tu unaanza kutanua matawi yake (kuamka).
Je, ni nini kinachopelekea jambo hili kutokea.? Karibu tujadili..
Siogopi.
FACT UPDATES:
tissues za kwenye majani za huu mti (panama berry tree) ni nyembamba sanaaa..kitu kinachosababisha majani kutepeta..wakati wa mchana ni muda ambao mmea unatengeneza chakula chake kwa kutumia mwangaza wa jua...kwa hiyo basi kwa kuwa mwanga wa jua unakamatwa na majani,,mmea unalazimisha kutanua majani yake ili uweze kunasa mwanga mwingi kadri iwezekanavyo...na ili kufanya hivyo inaulazimu mmea kutumia nguvu ya ziada kusimamisha majani ili basi mchakato wa kuandaa masosi uendeleee...ni kama mwanadamu tu,,mchana unakuwa bize ili uweze kuingiza chochote kitu..
wakati wa usiku hakuna mwangaza wa jua,as a result mmea hauna haja ya kutumia nguvu ya ziada kusimamisha majani...ikumbukwe kuwa lengo kuu ni kuwezesha mwangaza wa jua udakwe...sasa hii ni kiashiria tuu,,inawezekana pia mmea unapunguza shughuli zake nyingi tu wakati wa usiku kwa kuwa there is no point ya kufanya process hzo...na kitendo cha kupunguza hizo process is same as kulala kwa mwanadamu...