Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,480
- 7,443
- Thread starter
- #21
Ishu sio kuwa historia. Ishu ni kuwa kifo chake kitaendelea kuathiri siasa za TanzaniaJPM keshakuwa historia hawezi tena kurudi katikisa dunia ya walio hai. Sawa na Sokoine sawa na Nyerere, Fidel Castro na wengi wengine waliokwisha kugeuka sehemu muhimu ya zamani.
Kila nafsi itaonja mauti tunatofautiana siku na saa lakini huu wajibu wa wote.