NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Big up kwa Kenya kuwa na Demokrasia kiwango cha juu kuzidi Tz lakini linapokuja swala la uraisi kuna utofauti mdogo sana kati ya Tz na Kenya .
Kiti cha urais kina mamlaka makubwa sana, hii ni nafasi executive sio ya kuiletea masihara hata kidogo na kuna system tayari ipo kuhakikisha kiti hiki kitakuwa cha fulani kwenye chaguzi.
System ya Kenya tayari ipo kumuweka Mkikuyu au Mkalenjin, Thats it, End of story, Ikija kutokea vinginevyo labda wamweke puppet kutoka kabila dogo wanaeweza kumcontroll ili kupooza kelele za ukabila.
Hii uchaguzi ni kama mind games tu, hata political party tofauti ikishinda bado itabidi raisi awe katoka huko, Elections are just mind games, Hata raila kawa victim wa hizi mind games, alicheka sana na kufurahi pale Kenyatta alipokuwa anampa support na kumrushia maneno Ruto, guess who had the last laugh 😁😁 Mission done, Mission complete, Hiki kiti kina wenyewe.