Bwana kaduga
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 863
- 1,812
Ama alie kuacha kakuacha na nuksi mpaka maji ya bahari yahusike🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀Umepata Bahati unaanza kuichezea
Kwa jinsi mapenzi yanawatesa watu ukipata Bahati ya kuwa single usiichezee mkuu
Shukrani mkuuHawa wote waliokupa jibu la aina hii ukweli ni kuwa wamesha kuelewa in directly way ila kwa sababu wewe mwenyewe bado kuna clues ndogo ndogo haujazi master basi pambana.
Nyie ndo wale wa kuambiwa kusoma hujui na picha huoni..!!!! 🤒,
Ukiwa unaongea na mwanamke jaribu kuwa unaweka umakini kwenye macho yake,, kuna kitu Utakigundua na itakurahishia sana kuweza kugundua jibu atakalo litoa hata kabla hajaongea chochote.
Yan vijana bana mna shida mnaanzisha thread ili mradi tu uonekane na ww umo ww mchana umesema una jiran unataka umgegede saivi unakuja na sound nyingine.Wana JF mko poa tupeane pole juu ya hizi mvua zinazoendelea Nchini.
Kwa muda sasa hii hali imekua ikinitatiza huku nikibaki bila kujua hatma ya hii hali itanitoka lini na sijui hata ni nini kimenipata mpaka sasa.
Kama miezi saba {7} imepita nilikua katika PENZI strong sana, Ambalo lilidumu kwa miaka miwili na miezi hiyo niliyoitaja, Kwakua kila lenye mwanzo huwa lina mwisho basi Mahusiano yetu yalifikia tamati kwa sababu ambazo hata sijawahi kuzielewa mpaka sasa na kwa Maridhiano mzuri tulifikia kuwa kila mtu afanye mambo yake na Maisha yake kwa amani kabisa bila Ugomvi wowote ule.
Kwa upande wangu haikunipa shida sana nikiamini atakuja mwingine na maisha yatasonga kama kawaida, Lakini kwa wakati huu nilijipa break kidogo katika mahusiano na haikunipa shida sana kwa sababu akili yangu niliiandaa vyema katika maisha ya Ubachela.
Muda ukapita nikajiona sasa nmejipa muda wa kutosha yafaa nitafute Manzi tuanze MAHUSIANO mapya.
KISANGA KINAANZIA HAPA
Ajabu kila Manzi ninaetokea kumkubali ananipa jibu la moja sawa na niliyemkosa mwanzo huku sababu zikiwa zilezile.
'MHHM! YANII MTU KAMA WEWE UWE SINGLE UNATAKA KUNICHEZEA KISHA UNIACHE TU MTU KAMA WEWE HUWEZI KUKOSA MTU KABISA'
Najiuliza yani mtu kama mimi 'Mimi ni nani hasa na naonekana vipi mbele yao sipati jibu'
wakuu hili jibu limefanya mpka sasa naenda Mwezi wa saba huu bila Manzi na hata kama nikisema nikomae nae kuonyesha kweli kuwa niko single hapo ndo sina changu hakuna kitakachoenda kubadalika baada ya majibu hayo.
Kabisahebu tuanze hapa una hela?
Kwann unawaambia uko single? Mnakua mnaongelea nn mpaka manaanza kulizana kama uko single au una mtu?Wana JF mko poa tupeane pole juu ya hizi mvua zinazoendelea Nchini.
Kwa muda sasa hii hali imekua ikinitatiza huku nikibaki bila kujua hatma ya hii hali itanitoka lini na sijui hata ni nini kimenipata mpaka sasa.
Kama miezi saba {7} imepita nilikua katika PENZI strong sana, Ambalo lilidumu kwa miaka miwili na miezi hiyo niliyoitaja, Kwakua kila lenye mwanzo huwa lina mwisho basi Mahusiano yetu yalifikia tamati kwa sababu ambazo hata sijawahi kuzielewa mpaka sasa na kwa Maridhiano mzuri tulifikia kuwa kila mtu afanye mambo yake na Maisha yake kwa amani kabisa bila Ugomvi wowote ule.
Kwa upande wangu haikunipa shida sana nikiamini atakuja mwingine na maisha yatasonga kama kawaida, Lakini kwa wakati huu nilijipa break kidogo katika mahusiano na haikunipa shida sana kwa sababu akili yangu niliiandaa vyema katika maisha ya Ubachela.
Muda ukapita nikajiona sasa nmejipa muda wa kutosha yafaa nitafute Manzi tuanze MAHUSIANO mapya.
KISANGA KINAANZIA HAPA
Ajabu kila Manzi ninaetokea kumkubali ananipa jibu la moja sawa na niliyemkosa mwanzo huku sababu zikiwa zilezile.
'MHHM! YANII MTU KAMA WEWE UWE SINGLE UNATAKA KUNICHEZEA KISHA UNIACHE TU MTU KAMA WEWE HUWEZI KUKOSA MTU KABISA'
Najiuliza yani mtu kama mimi 'Mimi ni nani hasa na naonekana vipi mbele yao sipati jibu'
wakuu hili jibu limefanya mpka sasa naenda Mwezi wa saba huu bila Manzi na hata kama nikisema nikomae nae kuonyesha kweli kuwa niko single hapo ndo sina changu hakuna kitakachoenda kubadalika baada ya majibu hayo.
good!!!!Kwann unawaambia uko single? Mnakua mnaongelea nn mpaka manaanza kulizana kama uko single au una mtu?
How comes unakua above 20 years na uwe single?
Siku ingine wakikuuliza uko na mtu we sema ndio. alafu endelea na mambo yako kama alikuelewa ata jiandaa kwa mashambulizi
[emoji16][emoji16]Umepata Bahati unaanza kuichezea
Kwa jinsi mapenzi yanawatesa watu ukipata Bahati ya kuwa single usiichezee mkuu
Umefanya nmecheka kwa sauti kubwa!!!! anyway nikuulize swali dogo tu uko humu kukagua nani kapost Threads hii leo na hatakiwi kupost nyingine tena au?! Maana sijaelewa maana yako hapo.Yan vijana bana mna shida mnaanzisha thread ili mradi tu uonekane na ww umo ww mchana umesema una jiran unataka umgegede saivi unakuja na sound nyingine.
Madogo mnazingua sana bladi faken
mkuu mbn kama mchna ulituletea story ya mpangaji mwenzako, na vipi kuhusu hii ya sasa?Wana JF mko poa tupeane pole juu ya hizi mvua zinazoendelea Nchini.
Kwa muda sasa hii hali imekua ikinitatiza huku nikibaki bila kujua hatma ya hii hali itanitoka lini na sijui hata ni nini kimenipata mpaka sasa.
Kama miezi saba {7} imepita nilikua katika PENZI strong sana, Ambalo lilidumu kwa miaka miwili na miezi hiyo niliyoitaja, Kwakua kila lenye mwanzo huwa lina mwisho basi Mahusiano yetu yalifikia tamati kwa sababu ambazo hata sijawahi kuzielewa mpaka sasa na kwa Maridhiano mzuri tulifikia kuwa kila mtu afanye mambo yake na Maisha yake kwa amani kabisa bila Ugomvi wowote ule.
Kwa upande wangu haikunipa shida sana nikiamini atakuja mwingine na maisha yatasonga kama kawaida, Lakini kwa wakati huu nilijipa break kidogo katika mahusiano na haikunipa shida sana kwa sababu akili yangu niliiandaa vyema katika maisha ya Ubachela.
Muda ukapita nikajiona sasa nmejipa muda wa kutosha yafaa nitafute Manzi tuanze MAHUSIANO mapya.
KISANGA KINAANZIA HAPA
Ajabu kila Manzi ninaetokea kumkubali ananipa jibu la moja sawa na niliyemkosa mwanzo huku sababu zikiwa zilezile.
'MHHM! YANII MTU KAMA WEWE UWE SINGLE UNATAKA KUNICHEZEA KISHA UNIACHE TU MTU KAMA WEWE HUWEZI KUKOSA MTU KABISA'
Najiuliza yani mtu kama mimi 'Mimi ni nani hasa na naonekana vipi mbele yao sipati jibu'
wakuu hili jibu limefanya mpka sasa naenda Mwezi wa saba huu bila Manzi na hata kama nikisema nikomae nae kuonyesha kweli kuwa niko single hapo ndo sina changu hakuna kitakachoenda kubadalika baada ya majibu hayo.
Kwamba 1st ndio wameingia chuoniNa yule mpangaji mwenzio kakujibu hivyo?
Madogo mnaanzisha uzi nyingi mno zinakinzana hadi
Hata mimi siwezi kuwa na mwanamke ambae yuko single, mimi sio fala yaani wanaume wote hawamtaki mpaka akae single halafu mimi nikachukue zigo. Siwezi kufanya ufala huo hata dem awe mkali vipi. mapenzi yananoga ukimuta mtu yuko kwenye mahusiano halafu unamchukua unahamisia kwako.Wana JF mko poa tupeane pole juu ya hizi mvua zinazoendelea Nchini.