Kama iliwahi kukukuta, nambie ulijinasua vipi kwenye hili balaa?!

Shukrani mkuu
 
Ukute na mbinu za kutongoza unatumia hizo hizo ndio maana unakumbana na majibu hayo hayo. Tumia mifumo tofauti kama pep.
4-4-2,3-5-1-1, 4-3-3 . N.k
Haha dah wazee umetisha sana
 
Yan vijana bana mna shida mnaanzisha thread ili mradi tu uonekane na ww umo ww mchana umesema una jiran unataka umgegede saivi unakuja na sound nyingine.
Madogo mnazingua sana bladi faken
 
Kwann unawaambia uko single? Mnakua mnaongelea nn mpaka manaanza kulizana kama uko single au una mtu?

How comes unakua above 20 years na uwe single?

Siku ingine wakikuuliza uko na mtu we sema ndio. alafu endelea na mambo yako kama alikuelewa ata jiandaa kwa mashambulizi
 
good!!!!
 
Watakuambia lipia tangazo,watu wa humu wanakuza mambo sana
 
Umepata Bahati unaanza kuichezea

Kwa jinsi mapenzi yanawatesa watu ukipata Bahati ya kuwa single usiichezee mkuu
[emoji16][emoji16]

Mm saiv kwenye Mapenzi nimeamua kua stake holder. Na hodhi tu share chache chache za kunitosha kula Mbususu basi.
 
Yan vijana bana mna shida mnaanzisha thread ili mradi tu uonekane na ww umo ww mchana umesema una jiran unataka umgegede saivi unakuja na sound nyingine.
Madogo mnazingua sana bladi faken
Umefanya nmecheka kwa sauti kubwa!!!! anyway nikuulize swali dogo tu uko humu kukagua nani kapost Threads hii leo na hatakiwi kupost nyingine tena au?! Maana sijaelewa maana yako hapo.
 
mkuu mbn kama mchna ulituletea story ya mpangaji mwenzako, na vipi kuhusu hii ya sasa?
 
Hata mimi siwezi kuwa na mwanamke ambae yuko single, mimi sio fala yaani wanaume wote hawamtaki mpaka akae single halafu mimi nikachukue zigo. Siwezi kufanya ufala huo hata dem awe mkali vipi. mapenzi yananoga ukimuta mtu yuko kwenye mahusiano halafu unamchukua unahamisia kwako.

Wanawake wanaokukataa wanaona wewe ndo una matatizo hadi wanawake wengine hawakutaki ndo maana uko singo. Mimi siwezi kutongoza halafu niseme niko singo hata kama kweli niko singo, lazima niseme niko kwenye mahusiano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…