Kama imefikia hatua Simba inashangilia droo kwa Azam basi hatuna timu

Ama kweli tunaelekea kwenye anguko kuu


Tushaanguka tyr sio tunaelekea
 
Ihefu imefungwa na timu ngapi?
Haijalishi lakini kama tukiukosa ubingwa jua ni kwa sababu tumepoteza point 4 kwa Azam. Hebu jaribu kufikiria izo point 4 tulizoacha kwa azam zingetusaidia kiasi gani? Yaani tungekuwa ni genuine contender wa title tofauti na ilivyo sasa
 
Na bado Refa amewanyima Azam penalty ya wazi
 
Timu Yetu Haina Kocha Wa Viungo.

Labda anayemfahamu anitajie jina lake. Wachezaji wanachoka.

Anyways how comes top scorer wa Timu anakaa Bench Dakika 90 bila Kucheza huku Timu ina Struggle Kupata Magori?

Huenda Moo Aliona Hata akitoa hela zake kusajiri wachezaji Washambuliaji watakaa benchi
 
Shangaa nawew wachezaj wamechoka bado kocha anawaangalia waendelee kutembea uwanjani na timu haina matokeo
 

Nguvu moja ipi na umesema hawana kitu?
 
Mnakubali leo, kitambo tunasema simba hatuna timu msimu huu, tunaonekana haters.
Kina mzamiru, boko wale, takataka kibqo inabidi zituache.
 
Wew ndio team dhaifu ndo mana umepata point moja tu
Unatuita Azam dhaifu wakati umetupa point 4 [emoji23][emoji23]

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…