Kama inabidi ufungue dirisha

Kama inabidi ufungue dirisha

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Chakula kinatupa nguvu, na mahitaji mengine yanayofanya uhai uendelee. Ni kawaida kutoa uchafu baada ya chakula tunachokula kutumika mwilini.

Kama ukienda chooni harufu inakuwa kali sana kiasi inabidi ufungue dirisha itabidi ubadilishe aina ya chakula unachokula. Ongeza matunda na mboga mboga pia ongeza kiasi cha maji unachokunywa.

1535062735148.jpeg
 
Chakula kinatupa nguvu, na mahitaji mengine yanayofanya uhai uendelee. Ni kawaida kutoa uchafu baada ya chakula tunachokula kutumika mwilini.

Kama ukienda chooni harufu inakuwa kali sana kiasi inabidi ufungue dirisha itabidu ubadilishe aina ya chakula a nachokula. Ongeza matunda na mboga mboga pia ongeza kiasi cha maji unachokunywa.

View attachment 845380
Ingependeza zaidi mkuu hiyo biashara ungeifanya wengi tungekutafuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom