Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Chakula kinatupa nguvu, na mahitaji mengine yanayofanya uhai uendelee. Ni kawaida kutoa uchafu baada ya chakula tunachokula kutumika mwilini.
Kama ukienda chooni harufu inakuwa kali sana kiasi inabidi ufungue dirisha itabidi ubadilishe aina ya chakula unachokula. Ongeza matunda na mboga mboga pia ongeza kiasi cha maji unachokunywa.