sista sijaelewa, hii ni topic au ni comment ulikuwa unamjibu mtu?... maana naona ni kama ipo chini ya kiwango chako.Kama ukienda chooni harufu inakuwa kali sana kiasi inabidi ufungue dirisha itabidu ubadilishe aina ya chakula a nachokula. Ongeza matunda na mboga mboga pia ongeza kiasi cha maji unachokunywa.
Sky naomba wasifu wa opraha tafadhali hasa kuhusu mafanikio yakeKama ukienda chooni harufu inakuwa kali sana kiasi inabidi ufungue dirisha itabidu ubadilishe aina ya chakula a nachokula. Ongeza matunda na mboga mboga pia ongeza kiasi cha maji unachokunywa.
View attachment 845380
Ukila matunda na mboga mboga kwa wingi utatoa kama ya ng’ombe. Unaweza hata kulala nayo chumbani.mmmm kumbe kimba langu linatoa harufu kwa sababu ya kukosa matunda na maji?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingependeza zaidi mkuu hiyo biashara ungeifanya wengi tungekutafutaChakula kinatupa nguvu, na mahitaji mengine yanayofanya uhai uendelee. Ni kawaida kutoa uchafu baada ya chakula tunachokula kutumika mwilini.
Kama ukienda chooni harufu inakuwa kali sana kiasi inabidi ufungue dirisha itabidu ubadilishe aina ya chakula a nachokula. Ongeza matunda na mboga mboga pia ongeza kiasi cha maji unachokunywa.
View attachment 845380
Biashara gani?Ingependeza zaidi mkuu hiyo biashara ungeifanya wengi tungekutafuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa vijana hawajui wanaongea na medical doctor, mwenye ufahamu wa lishe na afya. Wao wamezoea kudeal na THTNi topic mkuu unataka niongezee nini? Hutakiwi kuchukia mzigo kwa harufu ukiwa maliwatoni
Ahahaha nimecheka sanakumbe wadada pia huwa mnakunya?? nlikua sijui
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbona wanaoifanya ni wengi.