SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,944
- 2,032
Najua tumekuwa na siku ndefu ya huzuni katika shughuli ya kumpumzisha kipenzi chetu Hayati Dr JPM namshukuru Mungu tumemaliza shughuli salama jemedari apumzike kwa amani aluta continue.
Bila kuwapotezea muda nimekuwa mitaani na kushuhudia Jinsi kinywaji hiki kinavyopendwa na kununuliwa na vijana wengi,kwa kweli naona vichwa vya vijana wengi ni vyepesi Sana kiasi kwamba katika pita pita zangu ninaona watengenezaji wa kinywaji hiki wajaribu kupunguza asilimia fulani za ulevi ili wapenzi wa kinywaji hiki waweze kuhimili ulevi wake.
Naimani pombe hii pendwa watajaribu kufata ushauri wangu na kuufanyia kazi