Watu tupo tofauti sana. Kuna pombe za ajabu mimi siwezi kunywa kabisa. Double kick, Robot, Livera na upuuzi mwingine wa aina hiyo siwezi kunywa kabisa. Kwanza ni pombe za vichochoroni.
Kwanini usigonge Kvant au nyagi kabisa? Hizi pombe zinazokuja kwenye packege za plastic msipokuwa makini mtanyweshwa gongo yenye flecer za matunda.