Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,197 Reaction score 128,160 Mar 27, 2021 #21 nyie wanywaji ndiyo mpunguze idadi ya chupa mnazokunywa.
Binadamu Mtakatifu JF-Expert Member Joined Jan 6, 2021 Posts 4,226 Reaction score 8,879 Mar 27, 2021 #22 Mbn kitu hiyo ipo fresh tuuu jmn wazeee baba mimi sio mlevi wala sinywi ila kwakua wanaokunywa wameridhika wacha waigonge au sio.
Mbn kitu hiyo ipo fresh tuuu jmn wazeee baba mimi sio mlevi wala sinywi ila kwakua wanaokunywa wameridhika wacha waigonge au sio.