Kama iPhone wameruhusu copy za iPhone kutengenezwa wanakosea sana

Kama iPhone wameruhusu copy za iPhone kutengenezwa wanakosea sana

Nani kakwambia ni wao wanaruhusu? Kampuni ambayo hata ukikopy mfuko wao wa Rambo wanakushtaki itaruhusu copy ya simu zake?

Hizo simu zinatoka China ambalo hakuna Sheria za kukakataza ku copy. Na Apple hawapo Official Tanzania hawawezi ku enforce chochote kwetu
 
Nimeshangaa sana iphone wanatoa hadi iphone za laki moja na sabini.

Bora zingepigwa marufuku Tanzania.

Zingetolewa simu za zinazofanana na iphone lakini zipewe jina lingine.

Kufanya hivyo kutaongeza utapeli hapa nchini.
Mlitaka muwe unique watu flan wenye hadhi yao lakini mchina kawagalagaza iphone users mnapenda status san
 
Nimeshangaa sana kuna hadi iphone za laki moja na sabini.

Bora zingepigwa marufuku Tanzania.

Pia soma: Huu utitiri wa iPhone 13 copy zinazouzwa laki 3 Dar zinatoka wapi?

Zingetolewa simu za zinazofanana na iphone lakini zipewe jina lingine.

Kufanya hivyo kutaongeza utapeli hapa nchini.
Copy au used/ refurbished? Iphone hawajaruhusu copy officialy, ni moja ya kampuni chache ambazo mfumo wake haujawa copied na hawaruhusu kuwa copied to date. Ni close source

So kuwa specific mtoa mada
 
Nani kakwambia ni wao wanaruhusu? Kampuni ambayo hata ukikopy mfuko wao wa Rambo wanakushtaki itaruhusu copy ya simu zake?

Hizo simu zinatoka China ambalo hakuna Sheria za kukakataza ku copy. Na Apple hawapo Official Tanzania hawawezi ku enforce chochote kwetu
Zile siyo Iphone. Na ni rahisi sana kuzijua kwa kungalia tu haiba ya mwenye simu.
 
Acha tu ziuzwe copy simu za kishoga hizi
Wauze tu kila mtu apate, tena ndani ya miaka mitatu ijayo hakuna mtu atanunua iphone ya 3M wakati ipo ya laki 3 with same looks.

Simu za Iphone wabongo 80% wananunua looks sio usability. Kinachomfanya anunue ni kuitumia kama status symbol ila sio kwamba anachokihitaji ni beyond camera na kupiga simu na kutuma meseji.
 
Utaijuaje na wakati kitu ni typical kabisa
Mkuu. Vitu fake vimekuwepo tangu. eg mikufu ya dhahabu fake imekuwepo na haijawahi kuua soko la dhahabu genuine. Hata ukiibeba utakuwa unajishtukia mwenyewe tu. Hapo ndipo watu wajajua.
 
Back
Top Bottom